Imani za kizamani sana hizi....habar VP Wa ndg?
Hebu tubadilishane mawazo kidogo.. Najua katika maisha kila mtu ana njia yake Ya utaftaji lakini kuna Kaz zingine moja kwa moja zinajulikana Ni za kike katika jamii..
Tumzungumzie mtoto wa kiume anae fanya kaz saluni Ya kike na Kaz yake imekua kusuka nywele wanawake
Pia tumzungumzie Jamaa ambae Kazi yake imekua ni kupika wali,ugali yaan yeye ni mpishi Katika mgaawa
Pia tumzungumzie Jamaa ambae kazi yake amegeuka baamed kuuza vinywaji baa...
MIMI BINAFSI HUWA NASHTUKA SANA NIKIWAONA KATIKA KAZI HIZO... VIPI MITAZAMO YENU WAKUU
Una umri gani!??habar VP Wa ndg?

habar VP Wa ndg?

Kuzaa,kunyonywa matiti na kugegedwa nahisi ndio kazi za kike.