Mwanaume kuchapiwa ni kujitakia

Mwanaume kuchapiwa ni kujitakia

Kwanini mnampa Mungu majukumu ambayo mnaweza kutekeleza?
Kikubwa ni kuwa waaminifu sie wenyewe, Mungu ametupa akili na utashi tuutumie katika maisha yetu... we unataka utumie akili hiyo na utashi huo wapi na katika maamuzi kama haya.....

Dear naomba uisome tena comment yangu then sehemu hukunielewa naomba uniulize . Samamhani ulipokwazika... Thanks.
 
bado hawa ni pasua kichwa tu wangapi wanaendesha waume zao kisa pesa wanazomiliki

Mkuu mimi kwa upande wangu naamini kuwa mwanamke akiwa na pesa kuzidi mwanamke hali inakuwa mbaya sana, nina mifano ya wanandoa ambao mwanamke ndio mwenye pesa, yaani zote ni majanga tupu.

Hapa nimetumia maisha halisi ya kiafrika kwa maana mwanaume anaoa ba kila kitu kwenye familia kitamtegemea yeye, kinyume cha hapo ni mwanaume kuolewa au kuoana kama ninavyosikia kwa wazungu.
 
Dear siku zote inaleta/italeta shida if there is no Love anymore, poor communications, listen other people's ad ices and to forget our vowed we have made in Church. Some women have still that mentality that their men still have to take care of them in everything.. Sasa kama akiwa na income kubwa kuliko mumewe na akiona anategemewa yeye kuna kipindi kichwa kinapanda huku jeuri zinaanza ( na ukiona hivi ujue kapata MTU mwingine nnje or her relatives/ friends wana muongeza maneno). If as women are easily to get tired . The question is Why our husbands are not tired to take care of us ? ( for those mume mwema).
Na je woman ulipoingia ndoani je hukujua hilo before ? Kuwa mumeo mtarajiwa hana kipato kikubwa. Kama ulijua hutaweza since money is matter why you got marry? Well I say if you knew all this before you shouldn't complain or give up your marriage na kuanza jeuri. Inatakiwa to take ndoa yako kama Wito and your Cross . Thanks..
 
Dear loveissweet utakimbiza watu na hiyo lugha iliyokuja na majahazi.
Thanks.
 
Last edited by a moderator:

Pole dear jamani my phone is not good kwenye Ku type iwe English or Swahili . Tena kwa Kiswahili ndio inasumbua kwa maana uki type sometimes inajiandika not appropriate words . Na ukienda law English ukiandika herufi uzitakazo zinakuja convince aaaghaaa shida tupu my dear . Naomba mnisamehe jamani. Thanks
 
Last edited by a moderator:
Dear loveissweet utakimbiza watu na hiyo lugha iliyokuja na majahazi.
Thanks.

Pole dear jamani my phone is not good kwenye Ku type iwe English or Swahili . Tena kwa Kiswahili ndio inasumbua kwa maana uki type sometimes inajiandika not appropriate words . Na ukienda kwa English ukiandika herufi uzitakazo zinakuja convince aaaghaaa shida tupu my dear . Naomba mnisamehe jamani. Thanks
 
Ni ile iPhone 6 ndio inakusumbua au una nyingine dear?
Thanks.
 
Back
Top Bottom