akiwa jirani unamchota mtama!Kuna wale wa "jomoni"
Huu ndio ukakasi kabisa, Hua nakereka sana kuona hilo neno.Kuna wale wa "jomoni"
Kuiga kunapitiliza wengine hawajui hata maana utamsikia "Axant my wangu, lop yew xo much"
208 basLime ibuka hili neno mtaani lina sumbua mnoo unaweza kudhani ume zawadiwa dakika mia mbili na nane kwenda mitandao yote la hasha ni mwanaume kaku text ana omba muonane neno hilo ni " 208"
" Oya uko wapi 208?"
k ni kHivi K jamani mi sijibu eti
208 bas
Mzee wa first to reply umeonaaee alafu unakuta dume zima lenye 40yrsNi kweli mkuu..umewasahau na wale wa xaxa, k, my, p, frexh
mijitu mingine bwana,inahangaika ni vitu vidogo havina hata maana. Sasa kama mtu anapenda hivyo unampangia? komaa na hali yako
Wapi 208... tusipo onana ile hela 21002 (tumia tu)
inasikitisha sanaMzee wa first to reply umeonaaee alafu unakuta dume zima lenye 40yrs
Ndioumesha sema tayari mkuu!Wataanza kusema pia nakojooa walivyo mazuzu