Saint_Mwakyoma
JF-Expert Member
- Jun 8, 2019
- 867
- 1,226
Mwanaume unaanzaje kukimbia changamoto?
Kukimbia na kurudi, utaishi hivyo kwa muda gani?
Ukikimbia usipopata ndiyo jumla unawatelekeza?
Nini maana ya kuwa kichwa cha familia?
Aliyesema mwanaume lazima awe nacho muda wote ni nani?
Ulioa ili muishi katika raha tu na ikifika wakati wa karaha mkimbiane?
Unaishije na mtu hawezi kuelewa kuna kupanda na kushuka katika maisha?
Unaishije na mtu anaye kuonyesha kujali wakati ukiwa nazo tu, na usipokuwa nazo hakujali? Huoni unatumika?
Unakubalije kuwa mtumwa wa mtu mwingine?
Humu kuna vijana wadogo wanaposoma thread kama hizi ile spirit ya kuwa mwanaume mwenye kuyakabili majukumu inapungua wakiamini mambo yakiwa magumu wakimbie na siyo kupambana kutafuta suluhisho.
Na SIVYO mwanaume anavyopaswa kuwa.
Uliamua kuyavulia nguo, YAOGE mzee.
Kuna mada nyingi tu humu jukwaani sikuhizi siyo za kubeba kama zilivyo.Anatuvuruga mkuu
Kwani hata wanasikia. Nilikuwa naye wakati anapitia kipindi kigumu sana hata hela ya kula ilikuwa shida. Kafanikiwa kakata mawasiliano na karudi kwa mwanamke aliyemkimbia wakati hana kitu. Huyo mwanamke alikuwa naye wakati mambo super, alipoona jamaa hela imekata akawa hana habari naye. Haya ndio maishaVijana Oeni wanawake wanaowapenda pasipo kujali una kitu au hauna kitu.
Mwanamke anaekupenda hawezi kukukimbia kwny shida au Raha.
Hao wenye chura na sura watumieni na wafanyeni michepuko TU,
Ukiishiwa unamkimbia speed 120 kwa usalama wako unarudi kwa mkeo kufarijiwa[emoji4]
Kama hauna pesa usioe ikibidi usizae pia , Maana utakuwa umesaidia kujipunguzia mateso,Tafuta pesa, oa, zaa. Huo ndo mtiririko sahihi.
Naam nikweli kabisa nimeshuhudia hayo , kuwa mwanaume halafu ukaoa ni Moja ya adhabu 1 kubwa SanaKila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake, kila mmoja wetu atabeba mzigo wake mwenyewe. Kuoa zama hizi ni adhabu ya kujitakia.
Kweli , [emoji16][emoji16][emoji16]Kuoa ni kama kutoa ajira.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] para ya mwisho nimecheka Sana , oyaaaaa umeongea ukweli ,lolMnadharau sana nyie mwanaume akikosa hela...ila sawa tuu maana ata sie tunadharau sana mwanamke akikosa tako
Kabisa Kaka, Nita ufanyia lamination [emoji16][emoji16]Hahahaaa, bora kukimbia na kuelekea kusikojulikana, maana yajayo yanasikitisha.
Huu ni uzi bora wa mwezi huu.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Umezaliwa na hao watoto?,umewahi kujiuliza ukifa hao watoto watakuwa kwenye hali gani?,ukifungwa maisha utawahudumia hao watoto?
Haujajibu hoja , Swali --- ukifa hao watoto wataishi katika mazingira gani ,Ndugu acha kabisaa watoto ni kitu kingine aiseee! Ni dhamana aliotupa Mungu haijalishi nitapita wapi niwaaache.
Hazinaga kanuni utazisakq kabla hujaoa hutazipata...ukioa unazipataTafuta pesa, oa, zaa. Huo ndo mtiririko sahihi.
Kweli [emoji16][emoji16][emoji119]Umekose hapo kidogo
Point of correction [emoji116]
Tafuta pesa, zaa, then oa.
Huwez kuoa afu ndipo uzae hii kiUWABATA hatukubariani nayo, mzalishe ndipo umuoe
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hakuna kukimbia tulia hapohapo ili mungu aliekuumba akuone unavyodhalilika huenda akakuonea huruma......
Naam [emoji457][emoji375]Ukiwa hujawai filisiki hii sentence huwezi ielewa abadani!!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Siku ukifa utazikwa na watoto wako?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] kweliHapo la muhimu ni MOJA TU, mengine mbwembwe.
Usiombe ya kukute [emoji457][emoji16][emoji16]Nimebaki Nacheka Maana Nikivuta Picha Ya Tukio.
Swala la kufa na kufungwa hiyo ni dharura ilio nje ya uwezo, automatically hapo sita kuwa nimekimbia bali dharura ilio nje ya uwezo imetokea.Haujajibu hoja , Swali --- ukifa hao watoto wataishi katika mazingira gani ,
Ukifungwa jela hao watoto wata hudumiwa na Nani ,!?
Binafsi nilitegemea utoe majibu ya hayo maswali