Mwanaume kimbia

Huwa zinaisha, maisha ni kupanda na kushuka. Kuna watu walikuwa na mipesa kibao sasa hivi wapowapo tu sio kwamba walikuwa wazembe...ni maisha tu yamewachezea mchezo mbaya

Well said mkuu hakuna ajuaye kesho
 
una msema ricky rick
 
umepata shemeji mkuu
 
Umezaliwa na hao watoto?,umewahi kujiuliza ukifa hao watoto watakuwa kwenye hali gani?,ukifungwa maisha utawahudumia hao watoto?
 
Umezaliwa na hao watoto?,umewahi kujiuliza ukifa hao watoto watakuwa kwenye hali gani?,ukifungwa maisha utawahudumia hao watoto?
Ndugu acha kabisaa watoto ni kitu kingine aiseee! Ni dhamana aliotupa Mungu haijalishi nitapita wapi niwaaache.
 
Kama hamjapata mtoto sawa kimbia tu ila kam mtoto yupo sidhani kama ni vyema kumkimbia/ kuwakimbia mwanao/wanao
 
Vijana Oeni wanawake wanaowapenda pasipo kujali una kitu au hauna kitu.

Mwanamke anaekupenda hawezi kukukimbia kwny shida au Raha.

Hao wenye chura na sura watumieni na wafanyeni michepuko TU,

Ukiishiwa unamkimbia speed 120 kwa usalama wako unarudi kwa mkeo kufarijiwa
 
Hakuna kukimbia tulia hapohapo ili mungu aliekuumba akuone unavyodhalilika huenda akakuonea huruma......
 
Umetema madini maziti sana humu. Inapaswa huu uwe uzi unaojitegemea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo hao wanawake wenye aina hii ya mapenzi unaambiwa ndio walikua front line wakati wa yale mapambano ya kumng'oa nduli Idd Amin Dada na bahati mbaya wote waliangamia hakuna aliefanikiwa kurudi.
 
Kitu pekee ambacho mwanaume anaruhusiwa kukimbia ni marathon 😄
 
Huwa zinaisha, maisha ni kupanda na kushuka. Kuna watu walikuwa na mipesa kibao sasa hivi wapowapo tu sio kwamba walikuwa wazembe...ni maisha tu yamewachezea mchezo mbaya
Ukiwa hujawai filisiki hii sentence huwezi ielewa abadani!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…