Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,101
Kukimbia pia ni moja kati ya mbinu za kivita pindi unapoona umezidiwa,unaweza ukajiona jasiri usikimbie ukabaki ukauwawa!
Nasema hivi mwanaume pindi unapoona uchumi wako umeyumba na ikifika kipindi huwezi tena kuendesha familia yaani inafika kipindi yaani huna mishe kabisa hadi unaamua kushinda nyumbani,maana hata ukitoka ni hola utaanza kuulizwa mbona umerudi mikono mitupu!
Ikifika hatua hii ni bora kukimbia na kwenda kusikojulikana kwa usalama wa afya yako maana sonona utayoipata kwa mkeo sio poa maana itafika kipindi ataanza kutoa papuchi kwa wajuba bila hofu yeyote na atakufanyia dharau kila aina!
Hii inaweza kupelekea kupata kesi ya mauaji uende jela maisha ama ujiue wewe mwenyewe ama uteketeze familia nzima!
Kwahiyo ni bora kukimbia mapema maana yajayo yanasikitisha!
All in all mwanaume tupambane sana kuhakikisha tunakuwa na uchumi imara kutunza familia zetu kinyume na hapo hakuna upendo wala heshima kwa Mwanamke