Hii tabia ya kuongea kwa kubana pua kwa kwa Wanawake/Mabinti ni kitu cha kawaida japo siyo wote.
Lakiki tatizo linakuja pale mwanaume anapoongea kwa kubana pua, binafsi huwa hii kitu hainiingii hakilini.
Au labda akina dada/wanawake wanawapenda zaidi wanaume wanaobana pua?
Mkuu, hiyo Nyakanazi hiko wapi?
Huwa wanabanaje pua?...kama mtu anayepenga kamasi??
Hii tabia ya kuongea kwa kubana pua kwa kwa Wanawake/Mabinti ni kitu cha kawaida japo siyo wote.
Lakiki tatizo linakuja pale mwanaume anapoongea kwa kubana pua, binafsi huwa hii kitu hainiingii hakilini.
Au labda akina dada/wanawake wanawapenda zaidi wanaume wanaobana pua?
Mkuu hawa wana style yao ya kuongea kama wamebana pua.
Hii imenitokeo jana maeneo ya Kinondoni, kuna Bitoz mmoja alnifuta nilikokuwa nimesimama ili aniulizie njia,kwa jinsi alivyokuwa anaongea kidogo nimchape makofi.