Mwanaume/kijana wa kiume kuongea kwa kubana pua.

Kyenju

JF-Expert Member
Jun 16, 2012
4,621
1,706
Hii tabia ya kuongea kwa kubana pua kwa kwa Wanawake/Mabinti ni kitu cha kawaida japo siyo wote.
Lakiki tatizo linakuja pale mwanaume anapoongea kwa kubana pua, binafsi huwa hii kitu hainiingii hakilini.
Au labda akina dada/wanawake wanawapenda zaidi wanaume wanaobana pua?
 
Wadada wa mjini kila kukicha wanatamani kupata vionjo vipya, kwa hapa Nyakanazi ukibana pua imekula kwako hakuna anaehangaika na wewe wanakuona tapeli wa kutokea mjini
 
Mkuu, hiyo Nyakanazi hiko wapi?
 
Hii tabia ya kuongea kwa kubana pua kwa kwa Wanawake/Mabinti ni kitu cha kawaida japo siyo wote.
Lakiki tatizo linakuja pale mwanaume anapoongea kwa kubana pua, binafsi huwa hii kitu hainiingii hakilini.
Au labda akina dada/wanawake wanawapenda zaidi wanaume wanaobana pua?

Mateja hayo.
 
Tuchunguze sana vijana wetu wanapokua. Jitahidi sana kuwa na watoto wako na marafiki zoa wafanye marafiki zako na utagunduoa mengi ya kumlea mwanao njia ipasayo na hataisahau hata uzee wake.
 
Hao wana matatizo aisee. Huku kijijini kwetu hiyo mikitu haijafika . Nadhani huko mujini mnaona mengi lol.
 
Huwa wanabanaje pua?...kama mtu anayepenga kamasi??

Mkuu hawa wana style yao ya kuongea kama wamebana pua.
Hii imenitokeo jana maeneo ya Kinondoni, kuna Bitoz mmoja alnifuta nilikokuwa nimesimama ili aniulizie njia,kwa jinsi alivyokuwa anaongea kidogo nimchape makofi.
 
Hii tabia ya kuongea kwa kubana pua kwa kwa Wanawake/Mabinti ni kitu cha kawaida japo siyo wote.
Lakiki tatizo linakuja pale mwanaume anapoongea kwa kubana pua, binafsi huwa hii kitu hainiingii hakilini.
Au labda akina dada/wanawake wanawapenda zaidi wanaume wanaobana pua?

Habani pua peke yake, kuna vitu vingine pia anakuwa amevibana teh teh teh dah mabraza do bhana ........!:suspicious:
 
Hahahahah....si mchezo!!

Mkuu hawa wana style yao ya kuongea kama wamebana pua.
Hii imenitokeo jana maeneo ya Kinondoni, kuna Bitoz mmoja alnifuta nilikokuwa nimesimama ili aniulizie njia,kwa jinsi alivyokuwa anaongea kidogo nimchape makofi.
 
Halafu yanakera hadi basi, dume utafikiri Jike. Mungu hakukosea kumpa dume sauti nzito na huo ndio mtego wa kuwindia.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom