Mwanaume kamili, unakuaje mmbea aisee?

Usikute mke wa jamaa nae kawapigia mashoga zake kuwachana kuwa hawajatunza siri na hao marafiki wa huyo mke wa jamaa na wenyewe wamewapigia simu mashoga zao kuwachana kwa kutoa siri..
Kiufupi wanaiga utakachofanya..[emoji28]
Hahahahahs
 
Ila hakuna watu wanaosema watu kama wanandoa waliona amani kwenye ndoa yao...ukimpa siri yako mmoja wao kuna kitu kinamuwasha tu amwambie mwenzie wakiwa wanapiga story....ila ni baadhi sio woote

Ni wote mkuu.

Na mfano wakigombana mmoja wao akakuomba ushauri, ukifanya kumchana mwenza wake. Siku wakiwa sawa watasimuliana na hapo ndo utaonekana mbaya ni wewe.
 
Kuna jamaa mmoja nlikua nafanya nae kaz sehem moja, Sasa yule mdau akirud nyumban anaanza kumueleza mke wake kuwa yeye ndo anamshahara mkubwa kuliko sisi,[emoji38] Yan akawa anamtengeneza mke wake ili amuone yeye ni bora kuliko sisi... Siku zikaenda mke wake nae akayapeleka kwa wanawake wenzake kuwa mume wake anapesa kuliko waume wa wenzake... ilizuka ugomvi kwanzia kwa wake zao had kwa wanaume.
Baadhi ya Wanaume wengi sahiv wanamambo ya kike sana
 
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…