mzee wa kasumba
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 1,440
- 2,967
[emoji23][emoji23][emoji23]Usikute mke wa jamaa nae kawapigia mashoga zake kuwachana kuwa hawajatunza siri na hao marafiki wa huyo mke wa jamaa na wenyewe wamewapigia simu mashoga zao kuwachana kwa kutoa siri..
Kiufupi wanaiga utakachofanya..[emoji28]
Mkuu mimi hii nimeiona kwa wanaume wengi sana,sijui mwanaume akitoa siri za wana kwa mkewe ndo anajisafisha....utasikia Juma ana michepuko mitatu na mtoto wa nje anamwambia mkewe na mkewe anawaambia mashoga zake ni upuuzi tuIla hakuna watu wanaosema watu kama wanandoa waliona amani kwenye ndoa yao...ukimpa siri yako mmoja wao kuna kitu kinamuwasha tu amwambie mwenzie wakiwa wanapiga story....ila ni baadhi sio woote
Hahaha mkuu umesema kweli, wife akipata ishu yyte akifika tu lazima animwagie, yan hakai na kitu nikiwepo lazima aniambie dahIla hakuna watu wanaosema watu kama wanandoa waliona amani kwenye ndoa yao...ukimpa siri yako mmoja wao kuna kitu kinamuwasha tu amwambie mwenzie wakiwa wanapiga story....ila ni baadhi sio woote