Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,745
- 25,677
Naunga mkono hojaBadilisha hiyo 'Q' kwenye dadeq yako uweke 'ki' tofauti na hapo huna tofauti kubwa sana na hao unaowananga. Mwanaume huandika kila neno kwa herufi yake stahiki na kuhusu kuoga hata mara mia ni unadhifu na maamuzi tu. Uanaume si uchafu mkuu.
Mwanaume wa kweli hatii mimba ovyo ili kudhihirisha urijali wake, huo ni upunguani.
Yaliyobaki kati ya uliyoandika ni kweli kabisa....
kuna jitu siku moja nililichenjia kwa ajili ya huu ujinga dadeqMwanaume mzima eti huna hata aibu unamtext rafiki yako wakiume unamuita My.. Khaaa.. ivi we unakili zote kweli..
None sensemwanaume na mimeno yako 32 na mindevu imejaa usoni bado hujaingia jando..badilika bwanaa..
Hapa umetudanganya mzee...Mwanaume eti hadi umri huo hujawahi kusingiziwa hata mimba na hauna mtoto, Mi nakwambia we bado hujawa mwanaume.