Mwanaume! Kama ni wewe ungefanyaje?

Ukistaajabu ya Musa utaona ya firauni

Yaani thamani ya mke wa mtu haitoshi hata mshahara wa mwezi??

Hivi wewe ukipewa nyumba ya M80 unauza maini ya Paw?

Hivi laki 7 nayo ni pesa eh? Inatosha kunywa supu ngapi, bia ngapi na mileage kiasi gani?
 

Niliforwardiwa SMS yenye maelezo haya 1 month ago! Hakuna jipya hapo, ila ni mawazo ya kufikirika sana, naomba nipite tu khaaaa! ptuuuuu!
 
Hivi laki 7 nayo ni pesa eh? Inatosha kunywa supu ngapi, bia ngapi na mileage kiasi gani?

Unashangaa mshenga? Ati wanasema ' ganda la muwa la jana chungu kaona kivuno', never get suprised
 
kwa wanaume wa sasa watazingoja hizo 80m
sio wa sasa hata wa zamani.
1990s Kuna OCD mmoja wa Tanga alimfumania mke wake na tajiri mmoja(alikuwa na mabasi fulani maarufu), tajiri akaomba msamaha akampa OCD kigari fulani hivi, OCD akachukua akatulia. Siku nyingine akamfumania tena, OCD akawa mkali akapewa gari nyingine, OCD akatafakari akaona akubali kuichukua gari ya pili, baada ya hapo akamtaliki mke akabaki na magari yake mawili akaoa mke mwingine.
 

haaaahaaa ama kweli huyo alikua nzombii lkn simlaum sana umasikini wake ndo ulimpelekea kufanya hivyo,na hata hivyo wasasa wamezidi kwa kudhamini ela kuliko utu
 

Unampa talaka aende zake akatanue na huyo kidosho wake. Manake ujue hapo ameshakuchoka.
 
Ina maana walikuwa wanaongea kwa kutimia vipaza sauti?
 

Loooh! Mbona umekuja kijanja yaani full MIZENGWE ya Jumapili iliyopita ITV, ila nawe embu shiriki.
 

Mme wangu ni mangi nimemvutia picha hizo hela zingemtoaje udenda?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…