Mwanaume jitambue kuwa huna msaada

Sisi WANAUME tumeumbiwa akili nyingi sana,lakini baadhi ya viumbe huziharibu ilimradi Tu uonekane jamaa fala Sana anapelekeshwa na mkewe hadi basi.
 
Pesa ndio kila kitu mkuu ,hakuna nyau atakudharau .
Mkuu , ikiwa mkeo atatoka na kwenda kumpa penzi kijana , bishoo asiyekuwa na kitu akimpendea Dredi zake na mikato yake,

Kumbuka wanawake mwalimu wao kipofu anaweza kumpenda mtu kisa kavaa nguo imechanika mapajani,na akamuelewa vyema kabisa,akampa penzi na pesa kijana akapewa,je ukigundua hili unafanyaje.

Mimi ni nazunguka sehemu nyingi Urban area ,and Rural area naona visa vingi kwa macho yangu sisimuliwi
 
Wanajamvi, najaribu kupitia Comments kadhaa naona watu wanachanganya kati ya udhalilishaji na umasikini

Mada inazungumzia udhalilishaji kwa mwanaume na niseme tu kuwa kama unadhani pesa ndiyo itakuletea Kila kitu unakosea

Pesa ndiyo Kila kitu watu wooooote unaokutana nao mabarabarani wanatafuta pesa, kutengeneza mipango ya kupata pesa,na wachache wanatumia pesa ambazo walizitafuta,na kama unadhani pesa ndiyo muongozo wa maisha yako umekwama,Kuna mahali kunatakiwa nguvu za kiume na si pesa,Kuna mahali kunahitaji lugha nzuri na Busara na si pesa.
Kuna mahali unatakiwa utembee kwa miguu ,nauli ba usafiri wako havina nafasi.

Kuna mahali unatakiwa uheshimiwe si kwakuwa una pesa Bali kwakuwa unastahili.

Wapo wachache ambao wamekuwa na kakilema fulani kupenyeza pesa kwenye Kila sehemu ili kurahisishiwa mambo yako ila mwisho wa siku huwa ni maumivu

Hospital,magereza, polisi,hata mabenki some times watu wanapenyeza rupia bahati mbaya nature inabaki vilevile.

Kwa mfano hakuna kitu kinaleta raha ya amani ya moyo kama kumtongoza mwanamke ambaye hajui kama una pesa na akakukubalia,kuliko yule ambaye unajua wazi anakuwa king'ang'anizi kwasababu ya pesa zako huo ni utumwa
 
Kweli bro
 
F
Feminism ni mfumo wa kishetani uliobuniwa ili kuharibu jamii ,jamii inaharibika kuanzia ngazi ya familia , feminism imetengeneza uvunjifu mkubwa wa ndoa na kuzalisha single mothers na malezi mabovu katika jamii ,
Matoto yanakuwa mashoga na tabia nyingine ovyo ,hii ni kutokana na kuyumba kwa malezi na kudunishwa kwa commanding structure na role ya mwanaume ,
Familia ikishakosa commanding structure ni failure ,ninkama jeshini tu au kwenye organization yoyote ,commanding structure ni muhimu .
Leo hii hata wanaume wengi hatuna hamu na ndoa kwa upuuzi huu , kiufupi sluts ni wengi kuliko wanawake halisi ambao unaweza kusema umeoa na kuweka ndani kama mke kabisa .
 
Marekani kuna msemo wanaume wanasema
"There is a clear war against men , you marry a woman who doesn't respect you ,care or loves you ,you bring to earth children who are brainwashed and indoctrinated by your so called wife , schools ,churches , peers and society to hate you and to disrespect you despite all the sacrifices you have done for them then you are whipped with lawsuits and breakups leaving you financially and mentally broke and at the end you die like a stray dog (lonely , desperate and demoralised ) and no body cares "

Hii Ndio misalaba tunayobebeshwa wanaume
Wanaume wengi wanaoa siku hizi cycle ni hii hii , yaani wanazunguka humo humo na wanaishia hapo
 
Yanini sasa kusumbukia ndoa kama hamna faida ila majuto ?
Si bora ujenge maisha yako na kuenjoy hobby zako siku za uhai wako ? Kuliko kujisumbua na kitu ambacho hakina faida ?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…