Dada yangu pole sana..ila uhitaji kuwachukia hivyo, sana sana wa kumchukia ni huyo boy friend wako kwa kukucheat,.. Usimchukie dada yako kabisa kwasababu hajui kama ni wakwako.Huyo mwanaume hakufai kabisa...na mshukuru Mungu kakuonyesha mapema.. Mwambie dada yako ili ajue huyo ni tapeli na malaya tu hala u move on..