jaqfantasy212
JF-Expert Member
- Dec 17, 2012
- 542
- 258
Habari wanaJF..
Nimekuwa nikijiuliza hili swali mara nyingi, mwanaume huwezi kumwambia mke wako/msichana wako sikutaki/nimekuchoka, mpaka umeonyeshe visa/vimbwanga...mbona ujasiri wa kumfata kwa mara ya kwanza na kumwambia nakupenda unao ila wa kumwambia sikutaki ndio hamna?
Nawakilisha...
Mw'ke ukimwambia live humtaki, anaumia sana. 2nawahurumia kwa hilo.
hii inakera kama mtu hakutaki bora akwambie ukweli
Kwasababu wanaume tuna huruma sana,ni wababe,wakorofi lakini linapofika swala hilo ni wapole sana na kurudi nyuma,huwa sisi tuna rudi nyuma,tunatafakari why?then tunarudi nyuma bt Women never look back ,never in their life...
BT MEN SO MANY TIMES ATARUDI NYUMA....Unahisi utamuumiza sana,unaweza kumpotezea bt sio kumwambia humtakiiii....utu pia unachangia....haya ni mawazo tu...its a free discussion,and it is subjective,and Contingency....
Neno zito hilo bidada mi mwenyewe siwezi kumwambia mtu, naacha vitendo tu ndo viongee........
Wapo wanaume kauzu wanawapa black and white
mkuu kipi bora kwangu, uniambie ukweli niumie au unifanyie vituko?
becoz ukishapata demu una uhakika wakumega papuchi...unajua kuwinda demu sawa na mawindo mengi ya porini unaweza toka kapa na pia inatumia energy...sasa bora unakuwa na kiporo chako hapo pembeni atakama mawindo hayajazaa matunda k ya kugegeda unayo
Wanaume tuko used na vibuti... Huwa haituumizi sana kama mademu.... Wao kibuti kimoja anawachukia wanaume wooooteeee wakati kwa mwanaume, kibuti cha huyu si cha yulena wanaume je?