Doppelganger
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 1,858
- 758
'dudu' na 'kichwa' hupingana maamuzi na kutuacha njia panda...
Neno zito hilo bidada mi mwenyewe siwezi kumwambia mtu, naacha vitendo tu ndo viongee........
Habari wanaJF..
Nimekuwa nikijiuliza hili swali mara nyingi, mwanaume huwezi kumwambia mke wako/msichana wako sikutaki/nimekuchoka, mpaka umeonyeshe visa/vimbwanga...mbona ujasiri wa kumfata kwa mara ya kwanza na kumwambia nakupenda unao ila wa kumwambia sikutaki ndio hamna?
Nawakilisha...
ujakutana na wakushi kama mimi,nakwambia wazi tu...NAKUITA MAHALI,TULE TUNYWE KISHA NAKWAMBIA...UNAJUA NI VIPI TUPEANE BREAK,MI BANA SINA FEELING TENA KWAKO,AM SORRY.then na muita weita na pay bill na sepaNeno zito hilo bidada mi mwenyewe siwezi kumwambia mtu, naacha vitendo tu ndo viongee........
Wanaume tuko used na vibuti... Huwa haituumizi sana kama mademu.... Wao kibuti kimoja anawachukia wanaume wooooteeee wakati kwa mwanaume, kibuti cha huyu si cha yule
Hapana mi sipendi vyote hivyo napenda nitunzwe.Wewe unapenda umwagwe au umiminwe?
Dada nackitika sana juu ya lawama hizi ambazo umezielekeza kwa wanaume tuu kuhusiana na hili la visa ambavyo unadai wanaume ndo ambao huwa wanavifanya,ukweli ni kwamba dada zetu ndo mmekuwa wabaya zaidi ktk hili maana ni wepesi sana kusahau wema wa mtu hasa pale unapopata mahali pa kuegemea(figa la pili).Ni kawaida kwa wasichana wengi kuwa na dharau kiburi kwa wanaume zao pale wanapoanzisha mahusiano mengine pembeni,nayasema haya nikiwa na uzoefu ktk jambo hili(muhanga).
ujakutana na wakushi kama mimi,nakwambia wazi tu...NAKUITA MAHALI,TULE TUNYWE KISHA NAKWAMBIA...UNAJUA NI VIPI TUPEANE BREAK,MI BANA SINA FEELING TENA KWAKO,AM SORRY.then na muita weita na pay bill na sepa
ujakutana na wakushi kama mimi,nakwambia wazi tu...NAKUITA MAHALI,TULE TUNYWE KISHA NAKWAMBIA...UNAJUA NI VIPI TUPEANE BREAK,MI BANA SINA FEELING TENA KWAKO,AM SORRY.then na muita weita na pay bill na sepa
hebu tuambie mfano wa vitendo ufanyavyo....
blue..mwanaume ulie kutokana na kibuti du!!we zoba i will never cry for women,kama hupendwi hupendwi tuMhhhhh unavyoyasema kama vile raha sana kumuacha mpenzio!afu unakuta kisa chenyewe kuna dem mwingine anakuzingua,ngoja iwe ndo wewe unalia mimachozi wee mpaka mashavuni huoni hata aibu kuwa kuna watu pembeni yenu,kweli mkuki kwa nguruwe nimeamini.
love is feeling bana...kama sina feeling na wewe siwezi ku force,huyo jamaa ajaowa sababu ya tamaa zake tu labda alikuwa ana penda penda ovyo.mwanaume wa kweli lazima awe wazi,kuachwa kunauma ila NTAKUONA JASIRI NA NTAHESHIMU MAAMUZI YAKO UKIJA KUNI FACE NA KUNIAMBIA UKWELI,kuliko kuninidaganyaUnalosema ni sawa, ila unaweza ukakuta huyo msichana alikupenda kwa dhati na alikuwa wala hakucheat , unavyomwambia hivyo inamuumiza sana, na watu kama nyie huwa hamna msisha mema, maana mkataa pema pabaya panamwita.
Mimi niliitwa pale panaitwa Hadees sasa hivi, ikanunuliwa juice, nikaambiwa hivyo hivyo na jamaa yangu, mm nilikuwa nafanya Tanesco, yeye alikuwa TTCL, alipomaliza nilisikia kama kisu kimechoma kwenye moyo wangu, nikamshukuru Mungu, nikarudi ofisini nikachukua seeksheat kwamba naenda Hosp. nikaenda home kupumzika, baada ya miezi 3 nikapata mume nimeolewa, ninawatoto 3 wa kwanza yupo form 4 , wa pili yupo la 7 na watatu yupo 1. yeye mpk sasa hajaoa, hana hata mtoto .
Juzi nimekutana naye kko, akabaki anababaika na kusema ningejua nisingekuacha, yule mwnamke aliyesababisha kuachana nawe alinitoroka akaolewa na wenye pesa" anajuta .Kwa hiyo unaweza ukafanya kitu kikawa na madhara baadae na ukaja juta.
yalinikuta haya ndo maana nakuwa na mimi mkatiliAkiniita namwambia nakuja afu siji, akiuliza badae mbona hukuja najibu nlikuwa na kazi, mbona hukunijulisha najibu nilipitiwa.....
Kama nimemzoesha kumuaga nikienda mahali siagi tena afu majibu yanakuwa short tu!!!
Akituma msg sijibu, akipiga simu namwambia ndo nimeona msg sahivi,ok nijibu sahivi sina credit nafanya na kero nyingine nyingiiii....ATAELEWA TU NAMAANISHA NINI!!!
yalinikuta haya ndo maana nakuwa na mimi mkatili
Nina uhakika kabisa hao uliokuwa unawatema walikuwa wa kupita tu hawakuwa wamekuingia moyoni vilivyo na hayajakukuta,unakuta mwanaume analia kama mtoto mdogo machozi mpaka mashavuni :A S cry: :crying: na kamasi juu hata haogopi watu na magoti anapiga.wewe sema nini wewe chezeya mapenzi :busu weweeeee hujampata tu,siku hiyo utalia mno na utanitafuta :help: nikuombee msamaha,mkuu usiombe yakakaukuta yaone tu kwa mwenzio.blue..mwanaume ulie kutokana na kibuti du!!we zoba i will never cry for women,kama hupendwi hupendwi tu
Ukishamchoka unaanza kuwekeza katika kugegedana tu akija kustuka keshaliwa vya kutosha......
Ndio tunapendaga hivyo.......