Brother Mshana karibu tupige K vant hapa tupunguze mawazo maana connection zote zimebuma[emoji1657][emoji1657][emoji1660][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]hawana koneksheni.... [emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]no connection... Hakuna mawasiliano [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]too bad.... Naogopa uzee[emoji24][emoji24][emoji24][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19]
pole dada wamesha kut...mba...na utaendelea ku..ombwa na hao hao..kuwa mpoleWell huu ni msemo unaopenda sana kutumiwa na wanaume na baadhi ya wanawake.
So let's keep records clear, huu msemo unatumika kwa wanaume kama Mengi, Mo Dewji, Bakhresa and the like. Nyie wenzangu na mie don't even think about that, mnazeeka my friends tena mnazeeka vibaya sana.
Hivi huna hata assets za maana, hauna uwekezaji wowote wa maana ulionao wa kuacha legacy and you have the guts kusema "mwanaume hazeeki"! My friends thiiiiiiiink. Au huwa mnafikiri kuwa mwanaume ni kumwaga mbegu tu?
Hivyo sasa, ukitaka usizeeke anza sasa kutengeneza legacy(if you still have time and balls though) kwa wale ambao mshazeeka ikiwa bado mko 20's, 30's or 40's basi enjoy uzee while it still lasts.
Unawaza pesa na assets za wanaume tu, an u even have the guts to write in public about it.. ama kweli dunia ina elements nyingi[emoji44]Well huu ni msemo unaopenda sana kutumiwa na wanaume na baadhi ya wanawake.
So let's keep records clear, huu msemo unatumika kwa wanaume kama Mengi, Mo Dewji, Bakhresa and the like. Nyie wenzangu na mie don't even think about that, mnazeeka my friends tena mnazeeka vibaya sana.
Hivi huna hata assets za maana, hauna uwekezaji wowote wa maana ulionao wa kuacha legacy and you have the guts kusema "mwanaume hazeeki"! My friends thiiiiiiiink. Au huwa mnafikiri kuwa mwanaume ni kumwaga mbegu tu?
Hivyo sasa, ukitaka usizeeke anza sasa kutengeneza legacy(if you still have time and balls though) kwa wale ambao mshazeeka ikiwa bado mko 20's, 30's or 40's basi enjoy uzee while it still lasts.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jiwe gizani ukisikia yalaaa jua limefika destination
Msalimie agatanyuzi kama hizi huwa sichangii kabisaa.[emoji2089][emoji2089]
Angejua stress anayopata mwanaume anaposhindwa kusuza rungu haifikii hata nusu ya hayo anayoyasema, asingefananisha kabisa uzee na vitu hivyo.
Imagine upo kama hao alowataja, lakini hawana "connection"😳😳😳
Kigori usinifanyie hivyo, naomba tuyazungumze 😥😥Msalimie agata
Hamhudumii kiaje? Kipesa au yale mahitaji ya msingi ya mume?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka, kuna mbaba sijui nimuite mbabu alimpeleka mkewe ambae ni kama mjukuu wake ustawi wa jamii eti kisa hamhudumii.
Acha zote zibume lakini sio hii ya msonobari[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Brother Mshana karibu tupige K vant hapa tupunguze mawazo maana connection zote zimebuma[emoji1657][emoji1657][emoji1660]
ha ha ha na nyie mtafute nini mkuu?Kaka Zetu Tafuteni Pesa Msiitwe wazee