MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,588
Hahahahahh sweetie ninakuelewa lakini si kwamba inategemea? Mf. kwa wale ambao kama mama ndie anayeshikilia uchumi wa familia yake pamoja na yeye mwenyewe! Mama ndie anayemfanya yeye aendeshe gari na kuhonga huyo wa pembeni anaweza kweli kukufanyia ujeuri ilhali kesho anatarajia kukwambia gari haina mafuta? nafikiri ataishia kujinunisha tu ili mradi akutetemeshe roho!. ......uanze tu kujishughulisha mwenyewe mara hizi kaongezee mafuta, e.t.c.
...hapana mwanajamiione,...hapo kwenye red wanaume hatupo hivyo...
mwanaume anapokuwa na alternative, huwa hanuni hata siku moja...ni ujeuri kwa kwenda mbele.
Dah MJ1 Umenitonesha kidonda ngoja niishie hapaHahahahahh sweetie ninakuelewa lakini si kwamba inategemea? Mf. kwa wale ambao kama mama ndie anayeshikilia uchumi wa familia yake pamoja na yeye mwenyewe! Mama ndie anayemfanya yeye aendeshe gari na kuhonga huyo wa pembeni anaweza kweli kukufanyia ujeuri ilhali kesho anatarajia kukwambia gari haina mafuta? nafikiri ataishia kujinunisha tu ili mradi akutetemeshe roho!. ......uanze tu kujishughulisha mwenyewe mara hizi kaongezee mafuta, e.t.c.
Sijui lakini maana kwa upeo wangu wa siku hizi hata siwezisema ninamwelewa vema binadamu maana kila kukicha ni vituko kwa kwenda mbele si mwanamke si mwanaume.
Wapendwa MMU habari zenu nimewamiss mjue? Mimi nashida na shida iko kwa my huby ana mood mbaya plz help haongelesheki kamwe! (msinitukane tafadhali nawaomba)
Hahahahahh sweetie ninakuelewa lakini si kwamba inategemea? Mf. kwa wale ambao kama mama ndie anayeshikilia uchumi wa familia yake pamoja na yeye mwenyewe! Mama ndie anayemfanya yeye aendeshe gari na kuhonga huyo wa pembeni anaweza kweli kukufanyia ujeuri ilhali kesho anatarajia kukwambia gari haina mafuta? nafikiri ataishia kujinunisha tu ili mradi akutetemeshe roho!. ......uanze tu kujishughulisha mwenyewe mara hizi kaongezee mafuta, e.t.c.
...Sijui lakini maana kwa upeo wangu wa siku hizi hata siwezisema ninamwelewa vema binadamu maana kila kukicha ni vituko kwa kwenda mbele si mwanamke si mwanaume.
Dah MJ1 Umenitonesha kidonda ngoja niishie hapa
Nisamehe dada yangu, nakuelewa.Dah MJ1 Umenitonesha kidonda ngoja niishie hapa
Saa zingine huwa najiuliza kama huwa unashirikisha ubongo wako kwenye kutafakarikhaaaaaaaaa mpige makofi mawili wenge limtoke ana mawenge huyo
Dena umeituma kwa posta au DHL maana naona haifiki hiyo PM yako na mie kwa umbeya hata situlii hadi ifike lolSoma PM Dear