Jipeni moyo hivo hivo, oa mtu ana sura ya anko wake na shape kama mche wa sabuni hajulikani mbele wapi nyuma wapi.... Kutoka nae huwezi, kila mtu anatoka na mkewe wewe mkeo UNAMFICHA KAMA PAYING SLIP, mwanamke sura na shape babu tabia tutarekebishana
Ha ha ha mpendwa watu wengine ni wanafiki mnoo, kujifanya ooh mwanamke akili, mwanamke lele lele anaoa mwenye akili anaenda kumuweka ndani kama makochiHahaha. Una point mpendwa. My old folks, bros and I tumeiongelea hii mara kadhaa. M'dingi alisema chagua mwanamke ambaye hata wanao wakifanana nae, hakuna noma. Atakayepeleka funny looking mjukuu/niece/nephew home, shauri yake.
Tabia kijijini babu, mjini sura na shapeThubutuuu! Mwanamke tabia bibi, sura hata mbuzi anayo
Ha ha ha mpendwa watu wengine ni wanafiki mnoo, kujifanya ooh mwanamke akili, mwanamke lele lele anaoa mwenye akili anaenda kumuweka ndani kama makochi
Ukimkuta bar na marafiki anakuja na katoto kazuri sura ya mdoli..... Eti mpendwa huu si ni usengre au?
This is not a game, it is reality. It is your kind of thinking that life is a game that make you people live in illusions.Hii game haihitaji hasira, jipeni moyo tu...
We unataka mwanamke wa kukushauri kujenga tu, we hujui kama unahitaji nyumba nyooo kaishi kwenye kichuguu.....
Ninachokupendea humung'unyi maneno. Unatoka live kama Magufuli vile. I wish one day nikuone live. Mwanaume wa nguvu akiwa na ww hana wasiwasi anajua utajibu nn likitokea la kutokea. Hata asipokuwepo yuko asured kuwa msaidizi yupo.Ha ha ha mpendwa watu wengine ni wanafiki mnoo, kujifanya ooh mwanamke akili, mwanamke lele lele anaoa mwenye akili anaenda kumuweka ndani kama makochi
Ukimkuta bar na marafiki anakuja na katoto kazuri sura ya mdoli..... Eti mpendwa huu si ni usengre au?
Vyovyote utakavyowaza, mie enzi hizo nahitaji mtu wa kua nae maisha I needed a good man wa kusaidiana nae sio wakunishauri nifanye hivi, wa kunishauri nifanye vile bali tushauriane.....This is not a game, it is reality. It is your kind of thinking that life is a game that make you people live in illusions.
Ha ha ha kila shughuli, kila mtoko mwanaume yupo peke ake utasema kisingo boy shida ya nini sasa jamaniii utamficha hadi pumzi ikate ha ha haHaha ni mtazamo wao, wasituongelee wanaume wote.
Hii mambo ya inner beauty, iko kwenye vitabu tu. Far as I'm concerned.
Good for you.Vyovyote utakavyowaza, mie enzi hizo nahitaji mtu wa kua nae maisha I needed a good man wa kusaidiana nae sio wakunishauri nifanye hivi, wa kunishauri nifanye vile bali tushauriane.....
Endeleeni kutafuta wa kuwashauri mjenge mtalala mtaroni haki ya mama
Cheers bro...Good for you.
All the best in your choice.Cheers bro...
Ha ha ha kila shughuli, kila mtoko mwanaume yupo peke ake utasema kisingo boy shida ya nini sasa jamaniii utamficha hadi pumzi ikate ha ha ha
hahahaha we Paulo hahahaKumficha sio tabu sana kama kumvumilia. Waking up next to a Samuel L. Jackson looking like wife, even for a single day, is a NO-NO. Haijalishi ana utu kiasi gani.
hahahaha we Paulo hahaha
Mkuu leo umeniacha hoi sanawanawake wenye sura za kawaida na wezelee la kawaida ndio wanao ongoza kuolewaa
Hapa mtaani kwetuuu ukisikia matarumbetaaa[emoji448] [emoji449] na honiii[emoji322] [emoji322]
za magarii ...yaanii pipiiiipiii holaaa pipiiiipiiiiipiiiii hola watu lazima waulize kuna mtu anaoa au anaolewaaa..wakisikiaa anaolewaaa mbiombio kwenda kucheki sura na shape ya bibi harusii utakuta bibi harusi wa kawaida kweliiii ...hako ndo kautafitii tunako kafanyaga hapa mtaanii
Kama unabisha utafiti anzia kwenu
Angalia sura na shape ya mama yako
Hamia kwa majirani angalia sura na shape za wake zao
afu hamishia utafiti kwa nyumba za kupanga ..lazima utakuta wamama wazuri rangi ya chocolatee umbo namba nanee nyuma kajazia sio sana ila kapanukia maeneo ya nyonga kama watoto wa kinyankoleee lakini kapangishiwa chumba na mwanaume aliyeoa mke wa kawaida na anamtumia kama nyumba ndogo
Hamia kwa wake wa waheshimiwa kama ma first lady wetuuu hapo ndo utakosa cha kujibu
wanawake wakali wanaolewa na mabishoo kama kina chibu na wengineo
Kwa sababu wao ni wazee wa mauzo ila varangatii wanariona kila siku wanavyosumbuliwa
KWAKO EVERINE SALT so kila jambo lazima ubishe mwingine ni ukweli mtupuuu ..hope umenielewaa
IMETOLEWA NA MKUU WA MAJESHI
MAKAPUKU FORUM
ndg DEKITAMBI
sisi MAKAPUKU ni new version WAKONGWE wanaitaji ku UPDATIWA ili wawee wa kisasa kisasa waendane na mtizamo yakinifu wa kizazi cha .COMMkuu leo umeniacha hoi sana
Big up.
Tatizo hawa ndugu zetu wamekariri mambo.sisi MAKAPUKU ni new version WAKONGWE wanaitaji ku UPDATIWA ili wawee wa kisasa kisasa waendane na mtizamo yakinifu wa kizazi cha .COM
Jipeni moyo hivo hivo, oa mtu ana sura ya anko wake na shape kama mche wa sabuni hajulikani mbele wapi nyuma wapi.... Kutoka nae huwezi, kila mtu anatoka na mkewe wewe mkeo UNAMFICHA KAMA PAYING SLIP, mwanamke sura na shape babu tabia tutarekebishana