Wakuu habari?
Nimeona nipate majibu kutoka hapa maana nimeulizwa hili kwa mda mrefu nakosa jibu sahihi.
Naomba niuulize maswali niliyowahi kuulizwa.\
1.Kwanin kupiga goti kwa mwanaume wakati akimvalisha pete mchumba ake inahusishwa na upendo?
2.Kama inahusiana na Upendo kwanini wanaume wengi hawapigi goti siku ya kuvalisha pete sku ya ndoa?
3.Tunakubaliana kuwa Wanaume wana upendo zaid kuliko wanawake maan sisi tunawavalisha pete tukiwa tumepiga goti lakin wao wamesimama?
4.Huu utamaduni umeanzia wapi? Na kwanini jamii uliukubali??
5. Nini MTAZAMO WAKOna TAFSIRI YAKO?
NAWEKA PICHA HIZI ZA MWANAUME ALIYEPIGA GOTI AKIMVISHA PETE MCHUMBA AKE na MWANAUME ALIYESIMAMA AKIMVISHA PETE MCHUMBA AKE..
Nawasilisha.
View attachment 1058903View attachment 1058905
Sent using
Jamii Forums mobile app