Mwanaume + Goti + Pete + Mchumba=Upendo?

Sijawahi, na sitokaa niwahi.

Kwanza sifa ya mwanaume

1-Kukataa katakata kosa.lolote hata kama nikweli.

2-ikitokea umeomba msamaha, Omba lkn usiombe msamahaa ambao mwanamke ataugeuza kua sehem ya faida, ukaishiwa kulipizwa.kisasi!!!.
 
Upepo wa kisulisuli ukikupitia, magoti utapiga,utaruka kichura chura ulimi wote nje, na masikio utashika.
Hii ni kwa wavulana tu,kwa wanaume ni haramu.
 
Hayajakukuta wewe mie niliposhikwa kuwa na mtoto nje nilipiga goti wakati najieleza na siku alipogundua na mwingine kwa mwanamke tofauti nikapiga tena goti. Kwa sasa najiandaa kupiga tena goti mtoto wa watatu wa nje kuna kamchepuko kana mimba ya miezi saba. NIKO NA UBAYAAA
 
Mimi kwa upande wangu sijawahi hata kama ikitokea ni kosa kubwa kiasi gani Nitaomba nikiwa wima wima sio kupiga Goti

Nawazaga wale wanaopiga goti wakat wa kuvisha PETE sijajua inakuagaje ila mimi naamini Nitamvalisha PETE mpenzi wangu

in a suprise way na sitompigia Goti kwakweli na nina uhakika atapenda na ntamuacha Akitoa macho kwa FURAHA.

View attachment 1235995

Sina mpango wala sitarajii kuja mpgia GOTI mwanamke (siwezi jua huko mbeleni lakini)

Sijui kwenu wa kujiita mabaharia.
Tatizo mnaishi na wanawake mizigo wasio na future yoyote maishani.
Kumpigia goti mwanamke hasa ikiwa unaomba akusamehe mahali alipokwazika haikuondolei uanaume wako bali pia inakufanya uwe mwanaume unayejali.
Mwanamke alitolewa mbavuni siyo ili anyanyasike bali alindwe na ajisikie ana mwanaume ambaye kweli katoka ubavuni kwake.
Wanaume tunaowapigiaga wanawake magoti ndiyo tulio na mapenzi ya dhati na tuna mapenzi ya faida kiuchumi siyo ya kitoto.
Tatizo mnataka kupigiwa magoti na wanawake wakati pesa hamna kitandani kazi hamuiwezi upendo kwenu ni ziro.Tambueni kuwa mwanamke humheshimu mwanaume yule aliyetimia kona nyingi yaani mtoaji,mlinzi wa kweli kwa mke,anayemfurahisha kitandani,anajali ndg wote na anajua thamani ya familia.
Wanawake wanaojielewa tunawajua na tunawalinda na kuwaheshimu kama faru wa Magufuli.
 
Hayajakukuta wewe mie niliposhikwa kuwa na mtoto nje nilipiga goti wakati najieleza na siku alipogundua na mwingine kwa mwanamke tofauti nikapiga tena goti. Kwa sasa najiandaa kupiga tena goti mtoto wa watatu wa nje kuna kamchepuko kana mimba ya miezi saba. NIKO NA UBAYAAA
NIKO NA UBAYA NIBADILISHE
 
wewe utakua na undugu na wale walisema watatembea na magoti mpk south
 
Kwanza lazima uandike?! Yaani hata hujielewi ......
 
Hayajakukuta wewe mie niliposhikwa kuwa na mtoto nje nilipiga goti wakati najieleza na siku alipogundua na mwingine kwa mwanamke tofauti nikapiga tena goti. Kwa sasa najiandaa kupiga tena goti mtoto wa watatu wa nje kuna kamchepuko kana mimba ya miezi saba. NIKO NA UBAYAAA
Mkuuu kwake Kila GOTI litapigwa

hii ndio maana yake sasa😀😀😀
 
Sijawahi, na sitokaa niwahi.

Kwanza sifa ya mwanaume

1-Kukataa katakata kosa.lolote hata kama nikweli.

2-ikitokea umeomba msamaha, Omba lkn usiombe msamahaa ambao mwanamke ataugeuza kua sehem ya faida, ukaishiwa kulipizwa.kisasi!!!.
eti umesemaa?
 
wanasema unapofanya hivyo unakua unaonyesha mahaba ya dhati
usiwasikilize wanawake wanachosema ..angalia wanachofanya..maana huwa hawaamanishi wanachokisema...ukimpigia magoti atakuona pang'ang'a la karne...na hapo ndipo atakuandalia mazingira uoshe vyombo
 
Back
Top Bottom