Mwanaume fanya homework yako kisawasawa

Mwanaume fanya homework yako kisawasawa

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,077
Reaction score
17,260
Asilimia 90 ya Wanawake utakaokutana nao sasa hivi na unayetaka wewe kumuoa AMESHATUMIKA. Siku hizi kujitunza ni msamiati na nadra kama kukuta mzaramo bikra. Utakuta Daftari unalomiliki limechorwachorwa na vidume flani vilivyommiliki zamani, wengine walikuwa na miandiko kama madokta wanaoshauri dawa gani ununue Pharmacy, wengine walikuwa na miandiko imepinda kama Mizengo na wengine kalamu zao zilikuwa zinagoma-goma.

Ni jukumu lako wewe kama mume mpya kulichora hilo daftari kwa mwandiko unaoleweka ambao hata yeye akisoma ataelewa. Tutakushangaa kama mwandiko wako wewe utakuwa mbaya kuliko mwandiko wa aliyepitabmwanzo. Ongezeko kubwa sana la wanawake kutoka nje ya ndoa zao kwa sababu performance ya mume ni shallow kuliko ya EX wake aliyemuacha ili aolewena wewe.

Endelea tu kujifanya Jogoo unapanda dakika 3 na kushuka. Uko fasta kumaliza kuliko page ya Google inavyofunguka kwenye Network ya Tigo wakati wa mvua za masika. Utajikuta mKe ni wako kwenye Cheti cha Ndoa lakini anamilikiwa na mtu mwingine KIHISIA,KIMWILI na KIROHO kwa sababu HUFANYI HOMEWORK YAKO SAWASAWA.
 
Hivi wewe Stunter Umeoa?

Kama jibu ni ndio, Ndoa yako ina muda gani?
 
Vagina si elastic mzee..ina sinyaa na kutanuka. Au ilitanuka ndiyo hairudiii?
 
Sijaelewa hapo kwenye mzaramo...unaweza fafanua kidogo!
 
Asilimia 90 ya Wanawake utakaokutana nao sasa hivi na unayetaka wewe kumuoa AMESHATUMIKA. Siku hizi kujitunza ni msamiati na nadra kama kukuta mzaramo bikra. Utakuta Daftari unalomiliki limechorwachorwa na vidume flani vilivyommiliki zamani, wengine walikuwa na miandiko kama madokta wanaoshauri dawa gani ununue Pharmacy, wengine walikuwa na miandiko imepinda kama Mizengo na wengine kalamu zao zilikuwa zinagoma-goma.

Ni jukumu lako wewe kama mume mpya kulichora hilo daftari kwa mwandiko unaoleweka ambao hata yeye akisoma ataelewa. Tutakushangaa kama mwandiko wako wewe utakuwa mbaya kuliko mwandiko wa aliyepitabmwanzo. Ongezeko kubwa sana la wanawake kutoka nje ya ndoa zao kwa sababu performance ya mume ni shallow kuliko ya EX wake aliyemuacha ili aolewena wewe.

Endelea tu kujifanya Jogoo unapanda dakika 3 na kushuka. Uko fasta kumaliza kuliko page ya Google inavyofunguka kwenye Network ya Tigo wakati wa mvua za masika. Utajikuta mKe ni wako kwenye Cheti cha Ndoa lakini anamilikiwa na mtu mwingine KIHISIA,KIMWILI na KIROHO kwa sababu HUFANYI HOMEWORK YAKO SAWASAWA.
Mahitaji ya kimajamboz kwa wanawake ni ya juu sana na hakuna mwanaume anayeweza kuyamudu ndio mana wazee wa zamani waliwakata ile kitu; suala la kutafuniwa liko palepale shukuru mungu tu asiamue kujiondokea kabisa aibu ikawa kubwa
 
Asilimia 90 ya Wanawake utakaokutana nao sasa hivi na unayetaka wewe kumuoa AMESHATUMIKA. Siku hizi kujitunza ni msamiati na nadra kama kukuta mzaramo bikra. Utakuta Daftari unalomiliki limechorwachorwa na vidume flani vilivyommiliki zamani, wengine walikuwa na miandiko kama madokta wanaoshauri dawa gani ununue Pharmacy, wengine walikuwa na miandiko imepinda kama Mizengo na wengine kalamu zao zilikuwa zinagoma-goma.

Ni jukumu lako wewe kama mume mpya kulichora hilo daftari kwa mwandiko unaoleweka ambao hata yeye akisoma ataelewa. Tutakushangaa kama mwandiko wako wewe utakuwa mbaya kuliko mwandiko wa aliyepitabmwanzo. Ongezeko kubwa sana la wanawake kutoka nje ya ndoa zao kwa sababu performance ya mume ni shallow kuliko ya EX wake aliyemuacha ili aolewena wewe.

Endelea tu kujifanya Jogoo unapanda dakika 3 na kushuka. Uko fasta kumaliza kuliko page ya Google inavyofunguka kwenye Network ya Tigo wakati wa mvua za masika. Utajikuta mKe ni wako kwenye Cheti cha Ndoa lakini anamilikiwa na mtu mwingine KIHISIA,KIMWILI na KIROHO kwa sababu HUFANYI HOMEWORK YAKO SAWASAWA.
Huwa unayapatia wapi yote haya lakini?
 
mitandao ya kijamii inaharib saana ndoa ila nivizuri ukaanzisha kijitwisheni senta ukafundisha hao wanaume ambao wana pua pafomansi
 
Kijana inaonekana ata wewe ujatulia kabisa. Vijana wa Darisalama bwana!
 
Back
Top Bottom