Mwanaume fanya homework yako kisawasawa

Mwanaume fanya homework yako kisawasawa

Mahitaji ya kimajamboz kwa wanawake ni ya juu sana na hakuna mwanaume anayeweza kuyamudu ndio mana wazee wa zamani waliwakata ile kitu; suala la kutafuniwa liko palepale shukuru mungu tu asiamue kujiondokea kabisa aibu ikawa kubwa
Kumbe ndio maana ya Kukeket*a????
 
Aisee miandiko iliyopita kweli ni shida. Kazi ya ziada inahitajika ili kuipiku maana wakati mwingine unaweza kuwa na dhamira ya kuandika vizuri ila mwenye daftari akawa analichezesha makusudi.
 
Aisee miandiko iliyopita kweli ni shida. Kazi ya ziada inahitajika ili kuipiku maana wakati mwingine unaweza kuwa na dhamira ya kuandika vizuri ila mwenye daftari akawa analichezesha makusudi.
Haahhaah... Hapo ndio patashika linapoanzia
 
Back
Top Bottom