Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,534
- 81,267
Unipe mambo ya pwani, nikila nsishibe.. Nipe mambo ya Mombasa mieUnataka tukufanyie nini labda?

Wiki siku 7Wanaume wengi wamekuwa na maswali juu ya sisi wanawake kuwa huwa tunataka nini kwenye mahusiano na huku kila kitu tunapata
Ukifanya haya hutasikia tunalalamika
Moja,mjali mwanamke..hata kama una kipato kidogo mjali,mnunulie vizawadi vidogo vidogo na mpe fedha ya matumizi kulingana na uwezo wako,,kama unaingiza elfu 30 kwa wiki nawe ukawa unampa elfu 5 sio mbaya
Mbili,Kuwa mwaminifu,epuka kucheat au kumfanyia hadharani,jitahidi sana asijue kuwa una mwanamke mwingine
Tatu,mburudishe,mpe raha ambayo hajawahi kupata popote pale muwapo faragha,hakikisha anafurahia kila wakati maeneo hayo maana ndicho kiunganishi chenu cha mahusiano
Ukifanya haya hutasikia tunalalamika,na kama tumegombana kiasi gani siwezi nikakuacha,na ukiniacha nitachanganyikiwa
Aaahh kwahiyo ndio nini sasa ubinafsi huo. Aridhike yeye tu?Rejea namba 3,kama uko vizuri hakika utaenjoy
Swahiba hebu thibitisha hapa, hayo yaliyosemwa yanatosha au kuna nyongezaDuuh! Haya mwaya ngoja waje.

Hy raha raha gan.?.watu mnafuga ma dido ya nch 24...Wanaume wengi wamekuwa na maswali juu ya sisi wanawake kuwa huwa tunataka nini kwenye mahusiano na huku kila kitu tunapata
Ukifanya haya hutasikia tunalalamika
Moja,mjali mwanamke..hata kama una kipato kidogo mjali,mnunulie vizawadi vidogo vidogo na mpe fedha ya matumizi kulingana na uwezo wako,,kama unaingiza elfu 30 kwa wiki nawe ukawa unampa elfu 5 sio mbaya
Mbili,Kuwa mwaminifu,epuka kucheat au kumfanyia hadharani,jitahidi sana asijue kuwa una mwanamke mwingine
Tatu,mburudishe,mpe raha ambayo hajawahi kupata popote pale muwapo faragha,hakikisha anafurahia kila wakati maeneo hayo maana ndicho kiunganishi chenu cha mahusiano
Ukifanya haya hutasikia tunalalamika,na kama tumegombana kiasi gani siwezi nikakuacha,na ukiniacha nitachanganyikiwa
Ye mwanamke ana nini cha ku-offer?Wanaume wengi wamekuwa na maswali juu ya sisi wanawake kuwa huwa tunataka nini kwenye mahusiano na huku kila kitu tunapata
Ukifanya haya hutasikia tunalalamika
Moja,mjali mwanamke..hata kama una kipato kidogo mjali,mnunulie vizawadi vidogo vidogo na mpe fedha ya matumizi kulingana na uwezo wako,,kama unaingiza elfu 30 kwa wiki nawe ukawa unampa elfu 5 sio mbaya
Mbili,Kuwa mwaminifu,epuka kucheat au kumfanyia hadharani,jitahidi sana asijue kuwa una mwanamke mwingine
Tatu,mburudishe,mpe raha ambayo hajawahi kupata popote pale muwapo faragha,hakikisha anafurahia kila wakati maeneo hayo maana ndicho kiunganishi chenu cha mahusiano
Ukifanya haya hutasikia tunalalamika,na kama tumegombana kiasi gani siwezi nikakuacha,na ukiniacha nitachanganyikiwa
Hakikisha asijue..tunavunjika moyo tunapojua unacheat
For the number of relationships i have been in, nimegundua its the little things that matter, ambavyo wanaume mara nyingi huwa tuna vi-overlook au dismiss.

Wanaume wengi wamekuwa na maswali juu ya sisi wanawake kuwa huwa tunataka nini kwenye mahusiano na huku kila kitu tunapata