Mwanaume fahamu haya

Mwanaume fahamu haya

Write your reply...kila mwanamke na akili yake wengine kila kitu unawafanyia lakini bado atazingua tu sasa unabakiwa na kitu ki1 ambacho ukuwahi kukifanya kwake "KUMWACHA" maana hicho ndicho anastaili
 
Wale wanawake ambao ukiwapa hela wanakataa. Tu deal nao vip ?
 
Kuishi nanyi kwa sasa hakuna tofauti na michezo ya biko na 3 mzuka...!!...tuendelee tuu itakavyotokea ndio hivyohivyo life goes on...
 
Yaani unawaruhusu kucheat kabisaaaa. Akili za wanawake wengi zishaharibiwa na hiki kitu.
 
Alisema, Remove sex from a relationship, women have nothing to offer.
 
Back
Top Bottom