Mwanaume fahamu haya

Mwanaume fahamu haya

Umpe pes, umpe chakula, umjali, umpe mapenzi aridhike, umlinde na kumjengea nyumba. Too much, what do i get in return
 
Hamna lolote. Kwanza hamlizikagi hata mpewe nn, mnyonywe wapi
Mkianza kutembeza papuchi mnatembea hata mjaliwe nn.
NB hakunaga mapenzi ya kweli okeyyyyyy
 
Yani wanawake mnapenda kupewa ela tu kwanini nyie ndo msiwe mnatupa sisi ela.?
 
Wanaume wengi wamekuwa na maswali juu ya sisi wanawake kuwa huwa tunataka nini kwenye mahusiano na huku kila kitu tunapata

Ukifanya haya hutasikia tunalalamika

Moja,mjali mwanamke..hata kama una kipato kidogo mjali,mnunulie vizawadi vidogo vidogo na mpe fedha ya matumizi kulingana na uwezo wako,,kama unaingiza elfu 30 kwa wiki nawe ukawa unampa elfu 5 sio mbaya

Mbili,Kuwa mwaminifu,epuka kucheat au kumfanyia hadharani,jitahidi sana asijue kuwa una mwanamke mwingine

Tatu,mburudishe,mpe raha ambayo hajawahi kupata popote pale muwapo faragha,hakikisha anafurahia kila wakati maeneo hayo maana ndicho kiunganishi chenu cha mahusiano

Ukifanya haya hutasikia tunalalamika,na kama tumegombana kiasi gani siwezi nikakuacha,na ukiniacha nitachanganyikiwa
Jitu unalifanyia hayo yote na bado linakuletea nyodo halipendi jamaa zako na ukikosea kidogo tu ghubu lake hilo sio la nchi hii
Kwa kweli mnaboa sana mda mwingine..... Mnasahau kuna kipind inabid muondoe utoto mfanye maisha
Mna tamaa sana na pesa mumeo kakupa 5000 nje umepewa 50000 hapo ndipo utapojua yajayo yanafurahisha.....
 
Wanaume wengi wamekuwa na maswali juu ya sisi wanawake kuwa huwa tunataka nini kwenye mahusiano na huku kila kitu tunapata

Ukifanya haya hutasikia tunalalamika

Moja,mjali mwanamke..hata kama una kipato kidogo mjali,mnunulie vizawadi vidogo vidogo na mpe fedha ya matumizi kulingana na uwezo wako,,kama unaingiza elfu 30 kwa wiki nawe ukawa unampa elfu 5 sio mbaya

Mbili,Kuwa mwaminifu,epuka kucheat au kumfanyia hadharani,jitahidi sana asijue kuwa una mwanamke mwingine

Tatu,mburudishe,mpe raha ambayo hajawahi kupata popote pale muwapo faragha,hakikisha anafurahia kila wakati maeneo hayo maana ndicho kiunganishi chenu cha mahusiano

Ukifanya haya hutasikia tunalalamika,na kama tumegombana kiasi gani siwezi nikakuacha,na ukiniacha nitachanganyikiwa
Ni kweli lazima utachamganyikiwa aisee!!

Dah haya mapenzi hayaa Hahaha
 
Hamkosi sababu vyote unaweza kupewa lakini unaweza kutwa mguu mmoja ukutana kijana wa kazi anaselebuka
 
Back
Top Bottom