Kwani akishinda nyumbani ndio haliwi akitaka????Siku ukisikia analiwa na boss wake au wafanyabiashara wenzake ndio utajua nini maana ya mama wa nyumbani..ila kiufupi suala la mapenzi na mahusiano ni pasua kichwa mana hayanaga formulas
Sent using Jamii Forums mobile app
Nachosisitiza usimtengenezee mwanamke mazingira ya kuchepuka..bora akae nyumbani alee watoto..we mwanaume kazi yako nini sasa..kama una mruhusu na mkeo akatafute.
Tena analiwa vizurii
Ndugu nawashauri kwa wale ambao mnategemea kua na mahusiano ya kudumu.Epuka mwanamke mvivu anayeshinda anaangalia TV na kuchati.Mwanamke anatakiwa awe na vijimiradi au vyanzo vya hela.Kumbuka kuna kifo na hatujui atakaetangulia.Je mwanaume ukatangulia ni nani atawalea hao watoto?.Japo kuna mila zingine zinadai mwanamke pambo la nyumba,lakini kwa sasa zimepitwa na wakati.Mwanaume epuka mwanamke goal keeper.
Wewe ni me au ke???Nachosisitiza usimtengenezee mwanamke mazingira ya kuchepuka..bora akae nyumbani alee watoto..we mwanaume kazi yako nini sasa..kama una mruhusu na mkeo akatafute.
Sent using Jamii Forums mobile app