Mwanaume elewa kuchapiwa ni siri ya ndani

DATAZ

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2012
Posts
4,712
Reaction score
11,987
Kwa Wanaume wote; kuchapiwa ni Siri Yako!

Kama kuna ushauri ambao sikushauri ukauombe kwa wanaume wenzako, ni huu wa kuchapiwa.

Nakuhakikishia utaishia kuanikwa hadharani na zaidi utabezwa tu na kuchekwa.

Wewe ukichapiwa tafuta kwanza tafuta utulivu, ikiwezekana nenda mbali kwanza upate mazingira tulivu ya kuweza kutafakari. Kisha tafakari sababu zilizopelekea au zinazoweza kupelekea kuchapiwa ni zipi? Halafu chukua hatua za kuzishughulikia sababu hizo au hata samehe kama una kifua. Ikiwezekana kubaliana na Hali.
 
Wewe ukichapiwa tafuta kwanza tafuta utulivu, ikiwezekana nenda mbali kwanza upate mazingira tulivu ya kuweza kutafakari. Kisha tafakari sababu zilizopelekea au zinazoweza kupelekea kuchapiwa ni zipi?
Mwanaume sio mvulana, mwanaume akigundua mke au manzi wake ni malaya msaliti

Huwa hajiulizi wala kujipa muda wa kutafakari anapiga chini hapohapo

Mwanamke msaliti na malaya huwa hasamehewi na wala haitafutwi sababu kwanini alitombwa nje
 
Kuna bahati mbaya mkuu 😁😁🚬
 
Kuna bahati mbaya mkuu 😁😁🚬
Hahaa hizi mambo za bahati mbaya na kumsingizia Shetani sijui alinipitia kwenye kutombwa si za kweli. Huu uzi ulimaliza kila kitu kwa nini malaya asisamehewe

 
Kwenye mada za mapenzi mapenzi tuu hupoi leo 😁😁😁🚬🚬

Kwa sisi tuliozeoea mashangazi hayo mbo hayatuumizi mana unakula mali ya mtu yaani kiufupi wachapaji wenyewe ndo sisi 😁😁😁
πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„ Mashangazi tena
 
Yaani iko wazi kabisa unasameheje?

Hakika ni safari tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…