Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,868
- 172,578
Oooh kutesa kwa zamu, hapo ni kama ushaachwa yani umebaki mwenyewe kwenye hayo mahusiano... Una date mwenyewe tuMahusiano yetu yanamuda mrefu kidogo, maisha yetu ya mahusiano yamekuwa na misukosuko sana, mwanzoni shida ilikuwa kwangu...Nilikuwa Kitomb* nilieshindikana, emeshawahi nifumania zaid ya mara nne + kupigana kwa ajili yangu. (Sizungumzi hivyo kujisifia, sio tabia njema katika jamii)
Baada ya kuona nakoelekea nitazikwa na kg2, nikaamua kubadirika na kuwa mwanaume bora katika namna yoyote ili kumfuta machozi.
Sasa hivi yeye ndio amekuwa chakaramu, kila unavyojaribu kumuelekeza haelewi. Nikisema nirudi nilikotoka nimaisha mabaya sana. Siwez eleza....hizo mambo najijua wala sihitaji complement
Ukiachana na pesa, mwanaume bora ni yule anayepeleka moto halaf akimaliza hachomoi anaacha iendelee kupeleka kama chaji!
Najua mbinu za kambini hizi, unaachwa kwenye mahusiano mwenyewe....unadate mwenyewe yaniAaaaah, au sio?[emoji848] shoga ako nini?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ngoja niichukue hiiPesa + dudu la yuyu
Mwanamke kama hakupendi hata ukivuta pumzi ni unamkera yani.....
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]mkuuu unaumia haswaNaishi naye katika namna ambayo, mwanamke yoyote anatamani aishi na mpenzi wake, naona kwake sukari imekuwa guru, ngoja nianze kumpiga matukio, kama hajafa kwa presha anajinyonga kwa mikono yake mwenyewe[emoji19]
Mr. Puker,Mahusiano yetu yanamuda mrefu kidogo, maisha yetu ya mahusiano yamekuwa na misukosuko sana, mwanzoni shida ilikuwa kwangu...Nilikuwa Kitomb* nilieshindikana, emeshawahi nifumania zaid ya mara nne + kupigana kwa ajili yangu. (Sizungumzi hivyo kujisifia, sio tabia njema katika jamii)
Baada ya kuona nakoelekea nitazikwa na kg2, nikaamua kubadirika na kuwa mwanaume bora katika namna yoyote ili kumfuta machozi.
Sasa hivi yeye ndio amekuwa chakaramu, kila unavyojaribu kumuelekeza haelewi. Nikisema nirudi nilikotoka nimaisha mabaya sana. Siwez eleza....hizo mambo najijua wala sihitaji complement
Bas hata yeye anataka kumwaga machozMahusiano yetu yanamuda mrefu kidogo, maisha yetu ya mahusiano yamekuwa na misukosuko sana, mwanzoni shida ilikuwa kwangu...Nilikuwa Kitomb* nilieshindikana, emeshawahi nifumania zaid ya mara nne + kupigana kwa ajili yangu. (Sizungumzi hivyo kujisifia, sio tabia njema katika jamii)
Baada ya kuona nakoelekea nitazikwa na kg2, nikaamua kubadirika na kuwa mwanaume bora katika namna yoyote ili kumfuta machozi.
Sasa hivi yeye ndio amekuwa chakaramu, kila unavyojaribu kumuelekeza haelewi. Nikisema nirudi nilikotoka nimaisha mabaya sana. Siwez eleza....hizo mambo najijua wala sihitaji complement
Angalau wewe, umeongea jambo la kujenga[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Mr. Puker,
Kumbe na kufumaniwa ulishawahi fumaniwa na ni mara kibao, sasa walalamika nini!? Kadri unavyomvunja moyo mwanamke ndivyo unavyopunguza upendo wake kwako,
Hiyo kuwa chakaramu, don't blame her, wewe jibebee tu msalaba wako wa lawama mpaka Golgotha, you are the reason ya vile alivyo sasa, unless otherwise alikuwa hivyo toka mnaanza date,
Pambana kiume kila kitu kiwe sawa, wewe ndiye mwanaume wake sivyo.? Simamia nafasi yako ipasavyo..!
tupe mrejeshoHabari za muda huu wana Jf. Kuna jambo naomba kuuliza pengine mimi ndio sielewi.
Hivi tukiachana na fedha, nini kingine wanachohitaji wanawake?
Maana kuna kenge mmoja kila ninalolifanya kwake anaona ni upuuzi. Nikitaka kumpiga chini, ananitishia anataka kujiuwa. Safari hii nitampa na ofa ya jeneza na sanda bure...shenzi kabisa[emoji57]
HahahhaMods walinitoa kwenye jukwaa la dini sijui nliwakosea nini au walinifananisha na shetani?
Jibu liko hapa, na pesa sio dawa pekee ya kumtuliza mwanamke!Mwanamke asipokupenda vitimbwi havitaisha milele hata ungemnunulia dunia
#ikoIvo