Pesa + dudu la yuyuHivi tukiachana na fedha, nini kingine wanachohitaji wanawake?
Naishi naye katika namna ambayo, mwanamke yoyote anatamani aishi na mpenzi wake, naona kwake sukari imekuwa guru, ngoja nianze kumpiga matukio, kama hajafa kwa presha anajinyonga kwa mikono yake mwenyewe[emoji19]Tatizo ni la wewe kujaribu kuwa mwanaume bora...
Ungeishi maisha yako Tu
Na huyo dada ungemchukulia kama ambavyo unapenda dada yako achukuliwe na mpenzi wake
Pesa ninazo kiasi cha kumtosheleza, hakuna kitu anahitaji nikashindwa kumpatia labda tofauti ni muda tu, hilo Dudu ndio linalomfanya nikitaka kumuacha anatishia kujiuwa, anajua wazi ni vigumu kupata mwanaume wa viwango vyanguPesa + dudu la yuyu
Nb: priorities zinatofautiana
Ndo nyuzi zako hizi.. siku kukukuta jukwaa la dini nafikiri mpk mizimu yako itakuwa imekosea njia..πPesa + dudu la yuyu
Mwanamke kama hakupendi hata ukivuta pumzi ni unamkera yani.....
Mods walinitoa kwenye jukwaa la dini sijui nliwakosea nini au walinifananisha na shetani?Ndo nyuzi zako hizi.. siku kukukuta jukwaa la dini nafikiri mpk mizimu yako itakuwa imekosea njia..π
Nakusalimu kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania..π
Waliangalia kipaji..π€£Mods walinitoa kwenye jukwaa la dini sijui nliwakosea nini au walinifananisha na shetani?
Kwanini unajihisi una viwango? Ni yeye kakuambia, ni wewe unaona, au?Pesa ninazo kiasi cha kumtosheleza, hakuna kitu anahitaji nikashindwa kumpatia labda tofauti ni muda tu, hilo Dudu ndio linalomfanya nikitaka kumuacha anatishia kujiuwa, anajua wazi ni vigumu kupata mwanaume wa viwango vyangu
ππ Wana roho mbayaWaliangalia kipaji..π€£
Halafu usikute hata sio mods ni mizimu yako ikaona asitutanie huyu ikaleft..π€£ππ Wana roho mbaya
Mahusiano yetu yanamuda mrefu kidogo, maisha yetu ya mahusiano yamekuwa na misukosuko sana, mwanzoni shida ilikuwa kwangu...Nilikuwa Kitomb* nilieshindikana, emeshawahi nifumania zaid ya mara nne + kupigana kwa ajili yangu. (Sizungumzi hivyo kujisifia, sio tabia njema katika jamii)Kwanini unajihisi una viwango? Ni yeye kakuambia, ni wewe unaona, au?
Mi kama vile nahisi huyo mtu hajakuelewa, ila kwakua unamuwezesha ndio maana inabidi awepo awepo....