Princess maryam
Member
- Mar 25, 2021
- 94
- 228
Habari za jioni,
Naomba ushauri wa jinsi ya kumchukulia mwanaume mwenye tabia hizi katika mahusiano.
1. Hayuko tayari kukuoa
2. Hayuko tayari kukutambulisha popote
3. Hayuko tayari kukusaidia kwa lolote
4. Anataka umpe hela ya chakula
5. Anataka umpe vipodozi kama mafuta perfume
6. Anataka atumie gari yako
7. Anataka umtoe outing
8. Anataka aishi nyumbani kwako
9. Anataka umpe chakula
10. Anataka atumie kila kitu chako
Yote hayo ni kwa kisingizio cha siku mambo yake yakikaa sawa atakuoa.
Si bora akakae kwao ajipange mambo yake yakiwa sawa ndio arudi kwa bi dada?
Au nyie mna maoni gani?
Najaribu kumsaidia mtu hapa.