mwanaume anasifiwa nini...

Hivi mlipita unyagoni kweli nyie?
Au ndo unyago wa Magomeni?
Au chicken hizi chicken party?

Mwanamme anapimwa kwa ujuzi wa kitanda na na pesa.

Na ukiona mwanamme hakupi apetite hadi utizame sura, jua anajifunza kuwa mwanammme bado hajakamilika.

ila sura ikiwa ngumu sana, unaanza kutafuta nyepesi ya kusuuzia lol, bora nini mvua au jua
 
Una miaka mingapi? Bado unapewa apetite na sura?

Una-date wenye miaka mingapi? Wasiojua how to unleash ur dragons kwa ujuzi hadi utizame sura? Pole kwa kweli lol

kama sura mali tungekimbia kwa wanawake wenzetu lol

e e e.... Kongosho....ina maana viserengeti ndio vihendsome pekee....puliiz....
 
Last edited by a moderator:
Hivi mlipita unyagoni kweli nyie?
Au ndo unyago wa Magomeni?
Au chicken hizi chicken party?

Mwanamme anapimwa kwa ujuzi wa kitanda na na pesa.

Na ukiona mwanamme hakupi apetite hadi utizame sura, jua anajifunza kuwa mwanammme bado hajakamilika.

mie mwenyewe kungwi bibi hahahah lol, sifa ya mwanaume aijua alienae au vepee kongosho. Ila hawa wenye sura za mama zao cku hz c ndo mtalimbo dorooo,
 
ha ha....kwa sababu umezaliwa leo....ngoja nisije kukubemenda bure mie.....
 
Bora hata uwe dorooo, unaolewa na mume naye ana bwana Khah!

mie mwenyewe kungwi bibi hahahah lol, sifa ya mwanaume aijua alienae au vepee kongosho. Ila hawa wenye sura za mama zao cku hz c ndo mtalimbo dorooo,
 
Aliyekuambia mwanamme 'mzuri' anakua akili nani?
Wee angalia tu mfano wa aliyezeeka na akili za kijana wa miaka 17
Full matabasamu, masmile kwenye maamuzi magumu hadi misibani
na bado wakaangalia sura yake, wakamwezesha kuwa alipo sasa tunaula wa chuya lol

Think Preta Think

e e e.... Kongosho....ina maana viserengeti ndio vihendsome pekee....puliiz....
 
hapa nimepita tu maana nimesikia mtu kaniita...vinginevyo sikua na mchango....
BTW anaetaka kuthibitisha UANAUME wangu aje achore namba 7 mbele yangu!
OUT!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom