Nahisi pengine mtu alipokutana na mwenzi wake alikua overwhelmed kiasi kwamba kuna vingi hakuaweza kuviona . Sasa mnapokua mmekaa pamoja kwa muda ndo anapata nafasi ya kumtazama vema mpenzi na kugundua hakua ametaka wa aina hii. Ingefaa mtu akaoa/kuolewa na anaempenda na si anaemtamani ie watu waongozwe na mapenzi hapo lbda itasaidia
Na kwani hakuna wanawake wanaopunguza mapenzi?
Bora umeekiri ni uchunguzi wako mdogo
Wanaume wanaenda phase by phase, phase ya mwanzo ni kukutafuta kwa juhudi zote na kukupata, phase inayofuata ni kupambana na maisha yenu, chakula, ada za mashule, makazi binafsi n.k. akiyafanya haya unaweza kuhisi kama kapunguza mapenzi lakini si hivyo anayazidisha ila kwa njia isiyo moja kwa moja....!!Mwanaume anapomtaka mwanamke anakuwa na maneno matamu kupita kiasi ataongea kila aina ya lugha ilimradi tu akupate,na mwanzoni atakupenda na kukufanyia chochote utakacho mpaka utajikuta nawewe mwanamke unampenda tena pengine zaidi ya yeye anavyokupenda na hapo ni baada ya kufahamiana vizuri na kumjua mwenzako ni mtu wa namna gani.mtashea mambo mengi mno pamoja na kuitana kila aina ya majina ili tu kudumisha penzi lenu
sasa inapofikia mmezoeana kupita kiasi mapenzi yanaanza kupungua alikuwa anakuita darling honey sweety na mengine mengi yote hayo yanaisha anaanza kukuita jina lako au mama fulani na mabadiliko haya hasa ni kwa wanaume hii ni kwa uchunguzi wangumdogo niloufanya yaani mpaka mwanamke unakuwa unajishtukia kama unajipendekeza mana unajitahidi kumpeti ukidhani mpo page moja kumbe mwenzio wala hayupo nawe
sijajua ni nn huwa kinatokea had kufikia mabadiliko hayo ni kuzoeana kupita kiasi na je tuwekeane mipaka ya kutokuzoeana sana au tufanyeje au tusifunge ndoa tubaki kwenye uchumba huku ndo kuna raha zaidi ukishaingia ndani kila kitu kina badilika
ningependa wanaume wachangie zaidi nn kinawatatiza na wakike mnakaribishwa
Ni kweli dear lkn marekebisho yanapaswa kufanywa pande zote ili kuboresha mahusiano. I believe watu wakipendana kwa dhati na kuacha kujibweteka mara baada ya ndoa itasaidia sana . Hasa kinachosumbua ni mawasiliano , unajua watu wakijenga utamaduni wa mawasiliano itasaidia. Kwa mfano unapoona mabadiliko kidogo kwa mwenzako ni vema kumstua na kumuuliza kulikoni. Ndoa nyingi hazina matatizo makubwa , wengi wakishakaa pamoja huacha kabisa yale mazoea yao waliyokua nayo kipindi cha uchumba.ni kweli Ablessed wengi wanatamani bila mapenzi ya dhati ni mbaya sana taitaji kujirekebisha hasa wenzetu hawa wanaume
wapo ila nadhani wengi wao ni wanaume hasa wakiisha ingia kwenye ndoa
Hii hali nami ninayo as mwanaume,ila sijui ni kwanin??????napoanza mishe huwa nipp siriaz sana
kama huamini katk hilo ni bora ukae kimya maana huna cha kuchangia wapo yanaowakuta na inakera sana hii pia huchangia sana watu kutoka nje ya ndoa
Nadhani hiyo ni baadhi ya wanaume sio wote lakini hata hivyo ndoa ni zaidi ya kuitana darling/sweety,kuna watu wanajua kuyatamka hayo maneno kila wakati lakini hawana uwezo wa kuyaishi ndo maana utakuta sometimes love inapungua.Pia kuitana majina yenu halisi nadhani pia inakoleza upendo sio dalili ya kuchokana we fikiria una miaka may be 50 then mumeo anakuita lile jina la ujana nadhani unajisikia faraja.Mwanaume anapomtaka mwanamke anakuwa na maneno matamu kupita kiasi ataongea kila aina ya lugha ilimradi tu akupate,na mwanzoni atakupenda na kukufanyia chochote utakacho mpaka utajikuta nawewe mwanamke unampenda tena pengine zaidi ya yeye anavyokupenda na hapo ni baada ya kufahamiana vizuri na kumjua mwenzako ni mtu wa namna gani.mtashea mambo mengi mno pamoja na kuitana kila aina ya majina ili tu kudumisha penzi lenu
sasa inapofikia mmezoeana kupita kiasi mapenzi yanaanza kupungua alikuwa anakuita darling honey sweety na mengine mengi yote hayo yanaisha anaanza kukuita jina lako au mama fulani na mabadiliko haya hasa ni kwa wanaume hii ni kwa uchunguzi wangumdogo niloufanya yaani mpaka mwanamke unakuwa unajishtukia kama unajipendekeza mana unajitahidi kumpeti ukidhani mpo page moja kumbe mwenzio wala hayupo nawe
sijajua ni nn huwa kinatokea had kufikia mabadiliko hayo ni kuzoeana kupita kiasi na je tuwekeane mipaka ya kutokuzoeana sana au tufanyeje au tusifunge ndoa tubaki kwenye uchumba huku ndo kuna raha zaidi ukishaingia ndani kila kitu kina badilika
ningependa wanaume wachangie zaidi nn kinawatatiza na wakike mnakaribishwa
Wanaume wanaenda phase by phase, phase ya mwanzo ni kukutafuta kwa juhudi zote na kukupata, phase inayofuata ni kupambana na maisha yenu, chakula, ada za mashule, makazi binafsi n.k. akiyafanya haya unaweza kuhisi kama kapunguza mapenzi lakini si hivyo anayazidisha ila kwa njia isiyo moja kwa moja....!!
eti bebii.....Binafsi kuitana majina yenu halisi huwa naona it is more real
kuliko kuitana honey na darling..
Kweli mkuu ulichosema lkn huoni kua kuna ukweli ktk hili hao waliokua na kuacha kuitana baby wakitoka nje hasa wanaume huitwa baby na mapengo kibao mdomoni . Je kama babu huyu angeitwa baby na bibi pengine asingeenda huko out. Vivyo hivyo kwa wamama waendapo nje huitwa honey, darling na mengine mengi ,nadhan wangeitwa na waume zao majina haya pengine wasingeenda nje.Hapa tumekuja kufundishana kanuni ya imani??? Jibu swali mamaaa...... wengi huanzia na wawili.... Unavyosema wengi unamaanisha wangapi? Japo kwa percentage....
Hii ya kuitana mama naniliu hivi hakuna wanaoitana baba naniliu??
Mi huwa nakasirikaga sana kwa watu wanaoamini kuwa mapenzi ya utineja yanaweza kuwa with constant velocity na acceleration mpaka kufikia uzeeni....
Hebu Kaizer njoo toa neno la chama hapa!! Kuna mtu anataka aendelee kuitwa "baby" wakati tayari anajitoto liko standadi seven... Mwite na King'asti kabla hajapiga msuba.
Kama ukienda nae sambamba basi hautaona tofauti, na kama ukiiona basi hiyo itakuwa exceptional case..!!kwani asiyetafuta maisha nani kama kazi hata wanawake wanafanya kwanini msiende sambamba
Nadhani hiyo ni baadhi ya wanaume sio wote lakini hata hivyo ndoa ni zaidi ya kuitana darling/sweety,kuna watu wanajua kuyatamka hayo maneno kila wakati lakini hawana uwezo wa kuyaishi ndo maana utakuta sometimes love inapungua.Pia kuitana majina yenu halisi nadhani pia inakoleza upendo sio dalili ya kuchokana we fikiria una miaka may be 50 then mumeo anakuita lile jina la ujana nadhani unajisikia faraja.
Pia selfishness ni tatizo jingine kwa sababu wakati wa uchumba kila mtu alikuwa anaishi kwake sasa inapotokea mnaoana mnakuwa wote muda wote na baadhi ya majukumu yanaongezeka kwa sababu ya ubinafsi unaweza ukfikiri mwanamke ndiye aliyeongeza hayo majukumu hiyo hupelekea mwanaume kukumbuka situation aliyokuwa nayo kabla hajaoa na hupenda hurudia hali ile ndo maana hupelekea kidogo upendo kupungua.
Ila kuitana tu dear au darling kila wakati haitoshi kuwa manpendana au manenjoy life kwa sababu kuna wanawake wengine wantumia haya maneno pale tu wanapotaka watimiziwe ahadi zako
Hivi umeona wanaitwa baby na mapengo kibao mdomoni. Halafu hapa wanasingiza kazi. Mwanamke anapenda kudekezwa bwana na ndio maana wengine wanaenda nje ili waitwe honey, daling , hubby n.k. Kweli ndoa zetu tuziborehe kama tufanyavyo maboresho kwenye vyakula vyetu tusiishi kama zamanikwani asiyetafuta maisha nani kama kazi hata wanawake wanafanya kwanini msiende sambamba
Hapa tumekuja kufundishana kanuni ya imani??? Jibu swali mamaaa...... wengi huanzia na wawili.... Unavyosema wengi unamaanisha wangapi? Japo kwa percentage....
Hii ya kuitana mama naniliu hivi hakuna wanaoitana baba naniliu??
Mi huwa nakasirikaga sana kwa watu wanaoamini kuwa mapenzi ya utineja yanaweza kuwa with constant velocity na acceleration mpaka kufikia uzeeni....
Hebu Kaizer njoo toa neno la chama hapa!! Kuna mtu anataka aendelee kuitwa "baby" wakati tayari anajitoto liko standadi seven... Mwite na King'asti kabla hajapiga msuba.
Ishu ilianzia hapaaaaaaaaaaNa kwani hakuna wanawake wanaopunguza mapenzi?
Bora umeekiri ni uchunguzi wako mdogo
Ikajibiwa hiviiiiiwapo ila nadhani wengi wao ni wanaume hasa wakiisha ingia kwenye ndoa
Swali likaja hiviiiiWengi inaanzia ngapi?
Likajibiwa kwa kiburi namna hii...kama huamini katk hilo ni bora ukae kimya maana huna cha kuchangia wapo yanaowakuta na inakera sana hii pia huchangia sana watu kutoka nje ya ndoa
Nami nikaona nichangie hiviiii...Hapa tumekuja kufundishana kanuni ya imani??? Jibu swali mamaaa...... wengi huanzia na wawili.... Unavyosema wengi unamaanisha wangapi? Japo kwa percentage....
Hii ya kuitana mama naniliu hivi hakuna wanaoitana baba naniliu??
Mi huwa nakasirikaga sana kwa watu wanaoamini kuwa mapenzi ya utineja yanaweza kuwa with constant velocity na acceleration mpaka kufikia uzeeni....
Hebu Kaizer njoo toa neno la chama hapa!! Kuna mtu anataka aendelee kuitwa "baby" wakati tayari anajitoto liko standadi seven... Mwite na King'asti kabla hajapiga msuba.
Kweli mkuu ulichosema lkn huoni kua kuna ukweli ktk hili hao waliokua na kuacha kuitana baby wakitoka nje hasa wanaume huitwa baby na mapengo kibao mdomoni . Je kama babu huyu angeitwa baby na bibi pengine asingeenda huko out. Vivyo hivyo kwa wamama waendapo nje huitwa honey, darling na mengine mengi ,nadhan wangeitwa na waume zao majina haya pengine wasingeenda nje.
Mbona nje ndio wanavyoitwa wababa mpaka wanasahau kulipa ada za watoto.eti bebii.....
wakati una watoto kadhaa!
Oh umerudi... haya nambie na mama Matesha wangu anavyoitwa bebii pia na viserengeti boi inakuwaje? Tatizo ni kwa wanaume tuu???sasa wewe hutaki kuitwa baby kisa una mtoto wa 4m 4 wakati kidumu kinakuita hivyo na hukasiriki tena unamkabidhi na funguo za gari akikuita mkeo unaona kapitwa na wakati
Oooh sorry mkuu nikua najibu mada kumbe yalikua ni maongezi ya watu 2 samahani mpendwa nimedandia meli kwa mbele . Hapo nilipounderline si wifi yangu ni mdau wa hili jamvi kama mimi na wengine .Ishu ilianzia hapaaaaaaaaaa
Ikajibiwa hiviiiii
Swali likaja hiviiii
Likajibiwa kwa kiburi namna hii...
Nami nikaona nichangie hiviiii...
Aliyetakiwa kujibu akajitokeza huyu akajibu hiviiii........ Ila majibu haya yanaonyesha tatizo liko pande zote kwa wanaume na wanawake. Ok???
Sasa bibie mbona umemjibia shansarie nje ya kabisa ya point yake kuwa mianaume ndo ina matatizo. Huyu shansarie huyu kwanini anaanzisha mada afu anasepa anakuachia mpendwa umjibie. Ni wifi yako au? LOL (Just kidding bana)
Tuwaite wadau Kaizer, cacico, Paloma, Mtambuzi, amu, Fixed Point, snowhite, gfsonwin waje nao wachangie kiduchu
Hahahahahaha..... was just playing........... Dont take ODM too serious LOLOooh sorry mkuu nikua najibu mada kumbe yalikua ni maongezi ya watu 2 samahani mpendwa nimedandia meli kwa mbele . Hapo nilipounderline si wifi yangu ni mdau wa hili jamvi kama mimi na wengine .
Hivi umeona wanaitwa baby na mapengo kibao mdomoni. Halafu hapa wanasingiza kazi. Mwanamke anapenda kudekezwa bwana na ndio maana wengine wanaenda nje ili waitwe honey, daling , hubby n.k. Kweli ndoa zetu tuziborehe kama tufanyavyo maboresho kwenye vyakula vyetu tusiishi kama zamani