Mwanaume ampe mkewe asilimia ngapi ya mshahara

Mwanaume akishapokea mshahara anatakiwa ampe mkewe asilimia ngapi ya mshahara na asidai pesa nyingine hadi mwezi ujao, pesa hizo ni pamoja na pesa za chakula, matumizi yake na matumizi ya watoto
ampe pesa inayomtosha kuhudumia familia na yeye mwenyewe mambo ya asilimia ngapi ya mshahara sio mazuri maana ipo siku mshahara unaweza usiwepo na umeshamzoesha kurudi katika hali ya chini mara nyingi inakuwaga ngumu
 
Mwanaume akishapokea mshahara anatakiwa ampe mkewe asilimia ngapi ya mshahara na asidai pesa nyingine hadi mwezi ujao, pesa hizo ni pamoja na pesa za chakula, matumizi yake na matumizi ya watoto
Kwenye aviation wanasema every landing is a new landing,,,.

mahitajio hubadilika ,, hivyo situation ya mwezi huo itakuongoza utoe kiasi gani.
 
Nadhani mkae mpange mipango ya mwezi hadi mwaka, mambo ya "nimpe kiasi gani kwa mwezi" hutayauliza kama mnajua nakupanga mipang6ya familia.
 
Kuna dem napiga ila sijawahi mpa hela,haombi hela yule mwanamke. Sasa sijui anataka nini? Maana mi sitaki real love.
Nimezoea kuombwa hela hata kabla sijapiga sasa huyu nimemtafuna mara tatu bado hajaomba hela!

Hapa hadi nawashwa kumpa hela inabidi wiki ijayo iyo mshahara ukitoka nimpe hata 5% nipumue maana nlikua nmezoea kudangwa.
 
Uamuzi mzuri kabisa. Huyu angekusababishia presha bure.
 
Duh, mi huwa simpi bali hata wake huwa nachukua namwachia hela ya kutumia personally kama laki 3. Maana nlianza kwa kumpa akawa anatuma kwao. Nikaona simu za ndugu zinakuwa nyingi kila mwisho wa mwezi. Na yeye ni yatima. Ndo nikabadili gia angani. Huwa mwisho wa mwezi naleta wa kwangu analeta wa kwake tunachanganya, then nampa hela ya matumizi ya familia km laki 5, hela yake laki3 then zingine nachukua mm kwa ajili ya maendeleo ya familia. Mm huwa nabaki na elf 50 tu. Ya kulinda mfuko. Za kufanyia fujo mtaani huwa natafuta pembeni mshahara never kugusa. Mpaka madem huwa wananiona mm nati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…