hapana lov, ukikubali ombi langu nafunga viooHuu ubabe wa kupanga foleni huu
Alishinda Pound ngapi?Nchini Uingereza mwanaume mmoja aliyegundua ticket yake ya lottery imeshinda aliwapigia simu Camelot na kuambiwa apeleke vitambulisho vyake wahakikishe kuwa ni yeye.
Aliwajibu mbona mnazengua hamjui kuwa mimi ni mteja basi nirudishieni £1 yangu biashara iishe.
hupend kuwa mke mdogo?Na Mary anaambiwa haya haya
miss chagga hebu ona huyu alichokifanya!
Then he can't be serious maana hata kama kitambulisho umekiacha Syria kwa mkwanja huo unakifuata.Million 20
uwii yani kashindwa kuleta vitambulisho.. jamani jamani mpaka nimesisimkamiss chagga hebu ona huyu alichokifanya!