Mwanaume mmoja ambaye ametajwa kuwa ni raia wa Ufaransa kwenye taifa la Switzerlandamehukumiwa kwenda jela miezi 12 baada ya mpenzi wake kumshtaki kutokana na kuivua kinga ‘Condom’ wakiwa mapenzini.
Mwanamke alisimulia kuwa walianza kufanya tendo la ndoa wakiwa na kinga na walipomaliza mwanamke aligundua kinga imevuliwa kinyume na matakwa yake hivyo alitoa taarifa hiyo polisi, Mwanaume huyo alikamatwa na baadae kufikishwa mahakamani na akashtakiwa kwa ubakaji.
Akiwa mahakamani mwanaume huyo alidai kuwa lengo lake lilikuwa ni kuvaa kinga lakini ilipasuka. Mwanamke alisisitiza kuwa angejua jamaa hatumii kinga asingekubali kufanya tendo hilo, Mwanaume huyo amefungwa jelamiezi 12 lakini ameonyesha nia ya kukata rufaa!
Swali; Wanaojiita wapelelezi ; hapo upelelezi utafanyika vipi? Ushahidi ni upi? Nani alipasua condom? TBS wangehusika kama ni bongo.
" WANAWAKE WA BONGO WANASIRI NZITO SANA WAKIAMUA KUWASHITAKI KAMA HUYU BASI WENGI MWAFAAAH !