STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,075
- 17,237
Mwanaume mmoja ambaye ametajwa kuwa ni raia
wa Ufaransa kwenye taifa la Switzerland amehukumiwa kwenda jela miezi 12 baada ya mpenzi wake kumshtaki kutokana na kuivua
kinga ‘Condom’ wakiwa mapenzini. Mwanamke alisimulia kuwa walianza kufanya
tendo la ndoa wakiwa na kinga na walipomaliza
mwanamke aligundua kinga imevuliwa kinyume na matakwa yake hivyo alitoa taarifa hiyo polisi,
Mwanaume huyo alikamatwa na baadae
kufikishwa mahakamani na akashtakiwa kwa
ubakaji. Akiwa mahakamani mwanaume huyo alidai kuwa
lengo lake lilikuwa ni kuvaa kinga lakini ilipasuka.
Mwanamke alisisitiza kuwa angejua jamaa hatumii kinga asingekubali kufanya tendo hilo, Mwanaume huyo amefungwa jela miezi 12 lakini ameonyesha nia ya kukata rufaa