Mwanaume alivyoumbuliwa

Bongo movie hao walikuwa wanaact scene ya mtaani!
 
hata sidhani kama kweli huyo jamaa ni mume halisi wa huyo dada mbona hakuwa na reaction yoyote? huo mchezo tu kachezewa!
 
Aisee, kwahiyo uliacha shughuli zako ukajisogeza kusikiliza kinachoendelea, kazi unayo
 
Hapo ni mbwa kala mbwa hakuna mume wala mke hapo
 
Aisee, kwahiyo uliacha shughuli zako ukajisogeza kusikiliza kinachoendelea, kazi unayo

sio kosa lake ajira za sociology ni ngumu sana kupata kama huna ndugu wa kukupigia pande hivo huishia kuzunguka zunguka tu mitaani....
 
Angemkubali wala asibgemuita hyo mwanaume fake
Angempa kimya kimya
 
huyo mwanamke na anayejiita mumewe, wamenikwaza. hasa huyo mwanamke ambaye amekula vya watu akaogopa kwenda kutoa k mwenzake alipe

Hahahaaa ninyi watu....msitufanye tuogope kupokea hata ofa za soda...
 
ujinga ni mzigo yupo dada mfamasia mshenzi sana anajidai ana mime hajui the so called mme ana mchepuko wa maana zaidi yake? ndo maana umeona ametulia.wadada wengine bana
 
sio kosa lake ajira za sociology ni ngumu sana kupata kama huna ndugu wa kukupigia pande hivo huishia kuzunguka zunguka tu mitaani....
asante sana mdada. Swali dogo tu, hivi mtu anasoma ili aajiriwe au atumie ujuzi aliupata kwa maendeleo ya taifa lake? maendeleo ya taifa yanaletwa na watu walioajiriwa? Mbona una akili mgando? kweli nchi hii majanga.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…