Mwanaume akilalamika Ujue Anajali

Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
3,367
3,778
Mwanaume akilalamika Ujue Anajali,Mwanaume akichukia ujue alikuamini,Mwanaune akikuuliza jambo ujue anajaribu kupata ukweli.

Mwanaume akinyamaza na kuacha mambo yaende ujue Amakata Tamaa na Kama Hafanyi chochote kati ya Hayo TAMBUA UMEPOTEZA MWANAUME MZURI SANA KWENYE MAISHA YAKO.
 
surprisingly wanaume ambao wanafanya kinyume na haya uliyoyaandika ndio wanaopendwa na kuheshimiwa na wanawake!

Hivyo hili bandiko lako ni la kipotoshaji
 
Kulalamika, kuchukia na kujali vyote ni ubatili tu "mambo yakienda kombo yaeche usiendenayo"
 
Hii kitu nimeiona twitter sasa sijui nani kachukua kwa mwenzake

Ujumbe mzuri though
Mwanaume akilalamika Ujue Anajali,Mwanaume akichukia ujue alikuamini,Mwanaune akikuuliza jambo ujue anajaribu kupata ukweli.

Mwanaume akinyamaza na kuacha mambo yaende ujue Amakata Tamaa na Kama Hafanyi chochote kati ya Hayo TAMBUA UMEPOTEZA MWANAUME MZURI SANA KWENYE MAISHA YAKO.
 
wale wote wasiolalamika na kuuliza uliza tunajua wana njia mbili kuu na ya pembeni otherwise lazima wajali
 
Back
Top Bottom