mikatabafeki
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 12,770
- 4,656
hhahahaha huyu ndie Monicca kwa wasiomjuaHabari zenu!
Wanaume wengi hujikaza sana wanapotaka kumtokea mwanamke mzuri au aliyesoma.
Hii inaonesha jinsi wasivyojiamini ndo maana wengi hukimbilia kutongozea mitandaoni.
Ukimtazama sana usoni mwanaume anae kutongoza kama hajiamini lazima atazame pembeni au abadiri mada.
Wadada msiyependa kupotezewa muda na mijianaume msiyoipenda itazameni usoni haitakuwa na ujasiri tena.
Status zipi?, usije ukadhani madada poa hawana status zaoNi kweli kwasababu wewe hupendi tabu unakimbilia kwa madada poa....kule hakuna kutongoza ni dau lako tu. Hapa Mimi nazungumzia sisi wenye status zetu.
Hivi unajua kua dada poa siyo lazima auze K? Watu kibao wanatoa K kirahisi siyo kwasababu wamepigwa kimaisha ndugu yangu.Nadhani umekariri haya mambo.... wengine wanapenda kale kamchezo kwa ajiri ya starehe tu ila wewe unai-Complicate K eti mpaka mtu akutongoze tena kwa kuangaliana usoni ndiyo unaiachia, nani awekeze mda wake aghali kwenye kitu kidogo kama K? eti akuangalie usoni badala ya kukuambia tu Moniccca mambo vipi? una mda lini tukakandamize hiyo kitu?Maisha yamewapiga ndo maana wakakimbilia kwenye biashara hiyo
Hahaaaaaaaa duuuhNi kweli kwasababu wewe hupendi tabu unakimbilia kwa madada poa....kule hakuna kutongoza ni dau lako tu. Hapa Mimi nazungumzia sisi wenye status zetu.
We si ulikua unamsifia kila siku humu???Ndo wale wale tu
Ivi jf sio mtandao? Yule wako alikupatia wapi tena??Ni kweli kwasababu wewe hupendi tabu unakimbilia kwa madada poa....kule hakuna kutongoza ni dau lako tu. Hapa Mimi nazungumzia sisi wenye status zetu.
Jidanganye .. tena mi huwa sitongozi kihivyo, nasema moja kwa moja shida yangu .. ukichomoa naondoka zangu, ukiomba hela - naondoka zangu, ukieleweka tunaburudika then tunagawana kilichopo.Habari zenu!
Wanaume wengi hujikaza sana wanapotaka kumtokea mwanamke mzuri au aliyesoma. Hii inaonesha jinsi wasivyojiamini ndo maana wengi hukimbilia kutongozea mitandaoni.
Ukimtazama sana usoni mwanaume anae kutongoza kama hajiamini lazima atazame pembeni au abadiri mada. Wadada msiopenda kupotezewa muda na mijianaume msiyoipenda itazameni usoni haitakuwa na ujasiri tena.