Mungu wangu!!!dah Anakuletea na maradhi wanawake wengi hiyo hutukuta huo no mfano mmoja tu!na wanarudi wakishafilisika maana kule pesa kwanza!!wanaume wengi wanakuja kugundua makosa yao baadae sana na wameshachelewa!!Dah umenikumbusha story ya kusikitisha sana,baba mmoja alipata pesa nyingi as alikuwa mfanyabiashara wa mitumba.Hela ikamzuzua akamkimbia mkewe wa ndoa,akaenda kuoa mke mwingine.Pamoja na kuoa mke mwingine ,yule baba hakuacha kuwa na michepuko.Mwisho wa siku akafilisika na akarudi kwa mkewe ,mkewe akampokea kama mmewe wa ndoa.Kumbe yule baba karudi na ngonjwa hatari la Ukimwi ,na enzi zile hakukuwa na ARV miaka ya tisini mwishoni.Mme alikufa na mke nae baadae akafa.
Ishu ni kuwa silent killer,,unajidai unavumilia kumbe mipango yako haijakamilikami nipo kwenye harakati za kujifunza kuua bila kutazama uson.coz this is tumachi wanatutendea
Ishu ni kuwa silent killer,,unajidai unavumilia kumbe mipango yako haijakamilika
Ikifanyika stop and search za ARV's anaekutwa nazo awekwe ndani, nusu hawatarudi majumbani😡😡Dah umenikumbusha story ya kusikitisha sana,baba mmoja alipata pesa nyingi as alikuwa mfanyabiashara wa mitumba.Hela ikamzuzua akamkimbia mkewe wa ndoa,akaenda kuoa mke mwingine.Pamoja na kuoa mke mwingine ,yule baba hakuacha kuwa na michepuko.Mwisho wa siku akafilisika na akarudi kwa mkewe ,mkewe akampokea kama mmewe wa ndoa.Kumbe yule baba karudi na ngonjwa hatari la Ukimwi ,na enzi zile hakukuwa na ARV miaka ya tisini mwishoni.Mme alikufa na mke nae baadae akafa.
Unaona eeehDah umenikumbusha story ya kusikitisha sana,baba mmoja alipata pesa nyingi as alikuwa mfanyabiashara wa mitumba.Hela ikamzuzua akamkimbia mkewe wa ndoa,akaenda kuoa mke mwingine.Pamoja na kuoa mke mwingine ,yule baba hakuacha kuwa na michepuko.Mwisho wa siku akafilisika na akarudi kwa mkewe ,mkewe akampokea kama mmewe wa ndoa.Kumbe yule baba karudi na ngonjwa hatari la Ukimwi ,na enzi zile hakukuwa na ARV miaka ya tisini mwishoni.Mme alikufa na mke nae baadae akafa.
Binamu wengi wanarudi kwa wake zao baada ya mambo kuwachachia huko nje na sio kwamba amegundua makosa yake. Kama hajafulia basi ana maradhi, na michepuko mingi haijui neno "shida", shida kwa mkeo. Mbona hawagundui makosa yao wakiwa na hela bado na afya njema? Akipatwa na mabalaa huko ndo anajirudisha, kajichokea hana hata ongezeko la thamani, yani apeche alolo. Arudi huko huko alikokuwa ameinvest raha zake shaaaaMungu wangu!!!dah Anakuletea na maradhi wanawake wengi hiyo hutukuta huo no mfano mmoja tu!na wanarudi wakishafilisika maana kule pesa kwanza!!wanaume wengi wanakuja kugundua makosa yao baadae sana na wameshachelewa!!
Daah huzuni sana!
Ndo ambacho mie sikitaki hichoo!Mtu amekutelekeza umehangaika weee na watoto!anakula gud time ameishiwa anajifanya kurudisha mahabaBinamu wengi wanarudi kwa wake zao baada ya mambo kuwachachia huko nje na sio kwamba amegundua makosa yake. Kama hajafulia basi ana maradhi, na michepuko mingi haijui neno "shida", shida kwa mkeo. Mbona hawagundui makosa yao wakiwa na hela bado na afya njema? Akipatwa na mabalaa huko ndo anajirudisha, kajichokea hana hata ongezeko la thamani, yani apeche alolo. Arudi huko huko alikokuwa ameinvest raha zake shaaaa