Mwanasiasa wa miaka 90 kuoa mwanamume Marekani

Interest

JF-Expert Member
Apr 11, 2015
3,434
7,069
160425053911_harris_wofford_640x360_getty.jpg

Wofford alifiwa na mkewe Clare miaka 20 iliyopita

Seneta mmoja wa zamani wa Marekani, ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 90, ametangaza kwamba atamuoa mwanamume wa umri wa miaka 40.

Wawili hao watafunga ndoa mwishoni mwa mwezi huu.

Harris Wofford, aliyehudumu katika utawala wa Rais J F Kennedy kama msaidizi maalum aliyehusika na masuala ya haki za raia, aliachwa akiwa mjane baada ya mkewe Clare kufariki kutokana na saratani ya damu miaka 20 iliyopita.

Walikuwa wameishi katika maisha ya ndoa kwa miaka 48.

Akiandika katika gazeti la New York Times, Bw Wofford amesema anajihisi mwenye bahati sana kuishi katika enzi ambazo Mahakama ya Juu Marekani imetambua kwamba “ndoa haitegemeu maumbile ya mtu kijinsia, uamuzi au ndoto za mtu.”

“Msingi wake ni upendo.”

Mwanamume atakayeolewa naye ametambuliwa kama Matthew Charlton.

Wofford alihudumu wakati mmoja kama seneta wa chama cha Democratic akiwakilisha jimbo la Pennsylvania.

Aidha, alihudumu kama mshauri wa Dkt Martin Luther King Jr.

"Mnamo Aprili 30, katika umri wa miaka 90 na 40, tutaunganisha mikono yetu, tukiapa kuunganizhwa pamoja (kwenye ndoa): kuwa pamoja na kuishi pamoja, kwa mema na kwa mabaya, kwa utajiri na umaskini, katika maradhi na katika afya bora, kupenda na kuenzi, tangu kifo kitutenganishe," amehitimisha Wofford katika makala yake iliyochapishwa katika gazeti la New York Times Jumapili.

Chanzo: BBC Swahili
 
Kuna vitu viwili duniani ambavyo huwa sivielewi; naam; vipo vitatu. Cha kwanza ni UGAIDI. Sielewi ni kwa jinsi gani binadamu huuwa binadamu kwa visingizio visivyo na kichwa wala miguu.

Cha pili ni hili la USHOGA. Mwenyezi aliyeumba kwamba binadamu mume na mke waliotimiza vigezo (umri; akili timamu) ndio wanaostahili "kujuana" kupitia maumbile stahili leo mwanaume kwa mwanaume wanafunga "ndoa"? Kwamba kupitia kinyume na maumbile watajaliwa watoto au? Au matokeo ya ndoa ni yapi na kwa njia ipi? Hili ni gumu sana; hata wanyama hawajthubutu kuifikia hali hii!

Cha tatu ni mauwaji kwa imani za kishirikina! Kwamba ukumuua binadamu mwenzako utapata utajiri, au vyeo, au heshima, au kingine chochote kionekanacho machoni pa binadamu kuwa ni "kizuri". Huu nao ni zaidi ya wendawazimu.
 
Huyo mzee wa miaka 90, anataka afe vibaya ss kumuowa huyo mtoto wake wa miaka 40.
 
View attachment 342245

Mwanaume alifiwa na mke anaitwa "MGANE" sio "MJANE"
 
Wabongo mnashangaa ya Wazungu tuu kwa unafiki,haya mambo yamejaa kibao Dar,Tanga na Zanzibar. Juzi tuu hapa kiongozi wa UVCCM huko Zanzibar Bwana Shaka aliolewa Mombasa Hamkushangaa.
Tatizo la Wabongo kujifanya wasafi au wajuaji wa kila jambo.
 
Kuna vitu viwili duniani ambavyo huwa sivielewi; naam; vipo vitatu. Cha kwanza ni UGAIDI. Sielewi ni kwa jinsi gani binadamu huuwa binadamu kwa visingizio visivyo na kichwa wala miguu.

Cha pili ni hili la USHOGA. Mwenyezi aliyeumba kwamba binadamu mume na mke waliotimiza vigezo (umri; akili timamu) ndio wanaostahili "kujuana" kupitia maumbile stahili leo mwanaume kwa mwanaume wanafunga "ndoa"? Kwamba kupitia kinyume na maumbile watajaliwa watoto au? Au matokeo ya ndoa ni yapi na kwa njia ipi? Hili ni gumu sana; hata wanyama hawajthubutu kuifikia hali hii!

Cha tatu ni mauwaji kwa imani za kishirikina! Kwamba ukumuua binadamu mwenzako utapata utajiri, au vyeo, au heshima, au kingine chochote kionekanacho machoni pa binadamu kuwa ni "kizuri". Huu nao ni zaidi ya wendawazimu.

Tatizo ni nyie binadamu wa kawaida...wewe ukiwepo , kukosa akili ya kufikiri kwa mapana......uliyoyaandika hapo ni dhihirisho tosha, na haitotokea hata siku moja binadamu wa aina yako akaalewa chochote zaidi ya akili zako zilipofika hapo.

Pamoja na hayo sioni tofauti yoyote kati ya hao wanaoua kwa imani za kishirikina na kauli zako hizo za mwenyezi kuumba.
 
Laana ya MwenyeziMungu iwe juu yao
Naona imekuuma sana mkuu...teteteheheh!...kwanza ndiye amempa miaka miiingi...tisini vile, halafu huyo huyo Mwenyezi Mungu wake(sidhani kama ni yule wa kwako vile)kamleta kwenye taifa la dunia ya kwanza bora/tajiri, sio kama vile hapo ulipo weye.
Sasa kati yako na yeye yupi kabarikiwa na yupi kalaaniwa......halafu uenda Mungu wake anampenda sana, wanadamu nyie hamuishi vituko.
 
Tatizo ni nyie binadamu wa kawaida...wewe ukiwepo , kukosa akili ya kufikiri kwa mapana......uliyoyaandika hapo ni dhihirisho tosha, na haitotokea hata siku moja binadamu wa aina yako akaalewa chochote zaidi ya akili zako zilipofika hapo.

Pamoja na hayo sioni tofauti yoyote kati ya hao wanaoua kwa imani za kishirikina na kauli zako hizo za mwenyezi kuumba.

Eh!! Makubwa
 
Back
Top Bottom