Mwanasiasa Hussein Bashe anastahili tuzo

Mwanasiasa Hussein Bashe anastahili tuzo

Makau Js

Member
Joined
May 25, 2017
Posts
93
Reaction score
233
44ce972384dc9d26b32d0b6200323005.jpg



Kama kungekua na tuzo ya mwanasiasa bora wa week basi bilashaka Hussein Bashe alipaswa apewe.

[HASHTAG]#GoldenPeople[/HASHTAG]
 
Mzumbe mnatendewa haki hapa






Inabidi wajivunie
 
Tetesi? Kwahiyo haina uhakika au? Kuna haja wa kujitokeza Ras Simba wa kozi za kiswahili.
Mkuu sifuri na zero zinatofauti kikubwa ni wew kuelewa tu mengine achana nayo iwe na uhakika au haina uhakika.
 
44ce972384dc9d26b32d0b6200323005.jpg



Kama kungekua na tuzo ya mwanasiasa bora wa week basi bilashaka Hussein Bashe alipaswa apewe.

[HASHTAG]#GoldenPeople[/HASHTAG]
Mnafiki huyu. Kama kungekuwa na adhabu ya kupewa mtu anayeongea uongo bungeni basi huyu angepewa
 
Huyu jamaa huwa ananikera kutaka kuonyesha kuwa ni msomi kwa kutamka maneno ya Kiingereza ambayo ni broken tupu.
 
Ni mmoja kati ya wabunge wenye mawazo pevu kabisa
Mnafiki tu huyu, hana kitu kichwani huyu. Anachambua vitu kwa chuki. Yeye akae asubiri kulipwa posho. Na kibaya nyeupe alilamba hela yake sijui 2020 atatoa wapi hela ya kampeni
 
Sisi tunajua fika kuwa wanachama wetu ni wale wenye akili za akina jingalao Mudawote MOTOCHINI na wengineo. Hivyo tulivyoona msikia Bashi kipindi kile tukalazimika kumuona kuwa si raia.aana raia wetu hawawezi kuchambua mambo kwa namna ile.
 
inabidi uwe msomaji wa takwimu za mambo anayoongelea ndio uanze kumsifu.
maana wafuatiliaji wanasema mule kuna chumvi na ujanjaujanja kwenye maelezo yake.
kikubwa watanzania tupende kusoma ili tuwe na uwezo wa kumpinga hata msomaji anapopotosha
 
Huyu jamaa huwa ananikera kutaka kuonyesha kuwa ni msomi kwa kutamka maneno ya Kiingereza ambayo ni broken tupu.
Aaaaah, kweli unajua kingereza wewe!! Broken ipi aliongea ebu iweke hapaii
 
Aaaaah, kweli unajua kingereza wewe!! Broken ipi aliongea ebu iweke hapaii
Kama anamuweza aombe waongee japo Dk 30 bila kuomba maji, tuache kuponda Uwezo wa MTU kuongea lugha ngumu iliyowashinda hata wazungu wenyewe.
 
Uzuri wa huyu jamaa anajua kujenga hoja sana sana. Huwezi mfananisha na Lusinde au Agnes Marwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom