Fatma Karume arudishiwa Uwakili Tanzania Bara

dr namugari

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
9,404
15,988
Ile kesi maarufu ya kuvuliwa uwakili bi Fatma karume aka shangazi na mwanasheria mkuu wa serekali ndugu feleshi aliyekata rufaa Basi leo amekubali yaishe kwa kuiondoaa rufaa yake mahakamani

Sasa ndugu felishi anapambana na Peter madeleka na wakili Boniface mwabukusi ili wavuliwe uwakili

Naomba rais ameteuwe feleshi na biswalo kuwa mabaloZi wa Somalia na Sudan.

karume uwakili.jpg
 
Ile kesi maarufu ya kuvuliwa uwakili bi Fatma karume aka shangazi na mwanasheria mkuu wa serekali ndugu feleshi aliyekata rufaa Basi leo amekubali yaishe kwa kuiondoaa rufaa yake mahakamani

Sasa ndugu felishi anapambana na Peter madeleka na wakili Boniface mwabukusi ili wavuliwe uwakili

Naomba rais ameteuwe feleshi na biswalo kuwa mabaloZi wa Somalia na Sudan
View attachment 2947526View attachment 2947525
Fatuma ameachiwa kwasababu ya Uzanzibari na dini yake
 
Ile kesi maarufu ya kuvuliwa uwakili bi Fatma karume aka shangazi na mwanasheria mkuu wa serekali ndugu feleshi aliyekata rufaa Basi leo amekubali yaishe kwa kuiondoaa rufaa yake mahakamani

Sasa ndugu felishi anapambana na Peter madeleka na wakili Boniface mwabukusi ili wavuliwe uwakili

Naomba rais ameteuwe feleshi na biswalo kuwa mabaloZi wa Somalia na Sudan
Samia: AG njoo huku
AG: Nakuja Mkuu
Samia: Futa hiyo kitu sasa hivi
AG: nafuta sasa hivi na barua ni hii
Samia: Hjui huyu anatoka kipande gani cha tanzania?
AG: najua mama
Samia: Futa mara moja
AG: NIMESHATEKELEZA
johnthebaptist
 
Ila magufuli kama angebakia hawa wakina kibatala wote wangenyanganywa leseni za uwakili nchi ilikua inaelekea sehemu pabaya
Mbona Adv. Mwabukusi sasa hivi anafanyiwa yale yale aliyofanyiwa Adv. Fatma? au unajitoa ufahamu makusudi, Magufuli was nobody hao wabaya wa Tanzania walikuwepo kabla ya Magufuli na bado wapo..endelea kujitoa ufahamu!
 
Back
Top Bottom