mwanasheria wa Hlmashauri/ mji/ manispaa

mwanasheria wa Hlmashauri/ mji/ manispaa

dbrane

Member
Joined
Jul 23, 2012
Posts
31
Reaction score
5
mimi ni mwajiliwa kama mwanasheria II KATIKA MOJA YA Halmashauri. ombi langu kwa wana jf, kwa yeyote anye fahamu ni wilaya ipi, au halmashauri ipi ambayo ipo Mkoa wa DSM, PWANI, ARUSHA, SHINYANGA, MWANZA AU KAGERA TAFADHARI ANISAIDIE KUNIANGALIZIA WAPI KUNA UPUNGUFU WA WANASHERIA AU KAMA AKUNA MWANASHERIA KABISA,. THEN UTANITAARIFU KWA KUNI PM
NAOMBA KUWASILISHA
NB... NINA HUELEWA MKUBWA WA KUENDESHA SHUGHULI ZA KISHERIA KATIKA OFISI ZA SERIKALI ZA MITAA............ WILAYA/ MANISPAA NA MAJIJI NA HATA MIJI MIDOGO/
 
Ndugu yangu kusema ule ukweli ni kwamba hapo lazima uchemshe sana tena sana,maana hata wakikuambia kuwa halamashauri hizo na wiliya zote ulizotaja wana upungufu wa wanasheria it won't help anything maana siku hizi wanaoajiri kwenye hizi manispaa na halmashauri ni tume ya ajira, except ukijaribu wilaya hizi mpya na mikoa mipya unaweza ukabahatisha pasipo kupitia tume ya ajira.Nina rafiki yangu amebahatisha Afisa mipango mii wilaya mpya ya Kakongo
 
kama sijakosea Jamaa ameshaajiriwa so anataka kuhama, for that case sio lazima apitie tume ya ajira.
 
We mwanasheria hebu jieleze ueleweke,unazunguka nini sasa.we kaa hukohuko nafasi hakuna
 
Back
Top Bottom