Mwanasheria wa CHADEMA, Mabere Marando aibuka baada ya siku 973 kutokuonekana hadharani

Aliweka hadharani njama za kishamba za viongozi wa awamu ya 4 , wakiongozwa na Mwigulu za kudukua mawasiliano ya Mnyika ili wampe kesi ya uchochezi .

Alitaja wahusika wote akiwemo mtoto wa kiongozi na nchi vilikotoka vifaa hivyo vya kishamba aliitaja kuwa ni China .

Baada ya kufichuliwa kwa njama hizo mpango huo ukazimika
Duh! kamanda umenikumbusha CHADEMA yetu "original" kabla haijauzwa kwa CCM na mwenyekiti.
Huyu jamaa alishuka data - kesho yake asubuhi kesi zote zikayeyuka.
Akina Mwigulu walibaki wadogo kama sisimizi.
Siku hizi chama kinapata data kwa kale kadada katakakoandamana Marekani wakati sie tutakapokuwa tunapakiwa kwenye defender za Siro.
 
Huyu jamaa namkubali, kama chadema wangestick na huyu wangefika mbali lkn ndo hivyo tena wakapotea step wakachukuwa ma-snitch sasa lichama lao kinakufa!
Chama hakifi ni dola inajitahidi kuua chadema lakini imeshindwa
 
Huyu jamaa namkubali, kama chadema wangestick na huyu wangefika mbali lkn ndo hivyo tena wakapotea step wakachukuwa ma-snitch sasa lichama lao kinakufa!
Take your words the other way round ...

.... Maneno yako hayo ni kinyume chake Bro stuka!!

CDM inachanja mbuga ...
 
Huyo jamaa ni mpinzani kweli kweli. Ni msomi mzuri. Hababaishwi wala hatishwi! Ana historia nzuri ya harakati za upinzania Tanzania na ni courageous sana
Have some reservation ndugu, natamani ingekua hivyo ndivyo alivyo kweli, usilolijua ni kama usiku wa kiza
 
Mabere Nyaucho Marando Mwenyekiti wa Kwanza wa NCCR Mageuzi aliekubali kuachia Madaraka hayo Na kumpa Augustine Lyatonga Mrema ambae baada tu ya kupewa akaanzisha harakati zake za Kichagga kutaka kugeuza NCCR ni ya Wachagga, mwishowe Mrema akakimbilia TLP
 
Kumbe Marando alifuata utaratibu rasmi wa matibabu ya watanzania nje ya nchi!
 
Nani yuko usingizini? Ama ni wewe uko ndotoni, madiwani wote wanahamia CCM? Upo Tanzania au wewe ni mukimbizi.
Sio wanahamia, wananunuliwa na fedha za walipa kodi na wengine wanatishwa hadi kuuliwa. Huo ndio ukweli.
The characters of our rulers show that the industrialization will remain a pipe dream as nothing is done to achieve that dream.

The government is deeply preoccupied with eradicating opposition although it has now turned out to be a loosing battle.
 
Nitakuwa wa mwisho kuamini kwamba Jasusi / Njagu ' mwandamizi ' wa TISS kwa miaka hiyo Ndugu Mabere Marando ameachana na ' Kiapo ' chake ' hatari ' cha Ujasusi / Unjagu na kuamua kuwa Mwanasiasa tena wa Chama ' Pinzani ' kwa Serikali ya Chama cha CCM ambacho Serikali zake zote zilizopita ndizo zilimkuza, kumjenga na kumsomesha Mabere Marando Ujasusi / Unjagu sehemu mbalimbali duniani.

Naomba niwaache tu CHADEMA na hii Kauli ya ' Kihenga ' isemayo " Kikulacho ki Nguoni mwako ".

Kila la kheri.
 
Back
Top Bottom