Mwanasheria No. ONE ni TUNDU LISU

Mwanasheria No. ONE ni TUNDU LISU

tundu lissu ni mgonjwa wangu wa akili by dk hamis kigwangala

1395852905733.jpg
 
Sawa chooni si unadhani watz bado wana akili kama za mabest zako mende; ngoja Tundu awachemshe .

Huyo jamaa tangu nimjue hajawahi kutoka huko?!
Sasa sijui maji yameisha?
TP zimeisha?
Anapakua kamba?
Au kanogewa nini?!
 
Nyie mnaoleta ushabiki wa kijinga kwenye masuala nyeti ya nchi kama katiba ndio mnaowapa kichwa hawa wehu akina tundu Lissu wafanye vitendo vya kihuni huko bungeni na kusababisha bunge kuahirishwa mara kwa mara. Pesa za walipa kodi zinapotea bure.

Si umesema sio Lissu aliyesababisha Bunge kuahirishwa??Mbona tena unamtuhumu??
 
Sawa chooni si unadhani watz bado wana akili kama za mabest zako mende; ngoja Tundu awachemshe .

Huyo jamaa tangu nimjue hajawahi kutoka huko?!
Sasa sijui maji yameisha?
TP zimeisha?
Anapakua kamba?
Au kanogewa nini?!
 
Hivi huyu tundu ananipa rahaa akishika mc najua lazima kinuke.ila asifananishe tabia na watt wake wakike
 
Sio Tundu lissu alone, lakini ni watanzania wote wanaoitakia mema nchi hii na watu wake ambao wamo katika Bunge la Katiba kuhakikisha katiba inayopatikana ni ya wananchi wa tanzania na siyo maCCM na chama chao cha kimapokeo.
 
tundu lisu ni habari nyingine. Akianzisha kitu anakisimamia vizuri. Apa ndo utajua nani bora kati ya mh lissu na msanii zzk. Apa huwezi kuona anaweka pua, kwani anajua anafaidika. Tangu bunge ili limeanz ajachangia lolote harafu siku ya kiwete anautubia bunge, zzk alijifanya etia ana hisia kali. Usanii wa ccm kamwe hautafanikiwa
 
Nyie mnaoleta ushabiki wa kijinga kwenye masuala nyeti ya nchi kama katiba ndio mnaowapa kichwa hawa wehu akina tundu Lissu wafanye vitendo vya kihuni huko bungeni na kusababisha bunge kuahirishwa mara kwa mara. Pesa za walipa kodi zinapotea bure.

acha zipotee tu kwani sio hapo tu zinapopotea,tena afadhari hapa zinapotea huku tunaziona kuliko kule kwenye EPA,IPTL,RICHMOND,MEREMETA.Mnajifanya kuzionea huruma hizi za katiba!mbona huko kwengine hamsemi
 
Tundu Lissu ni Uchafu mdogo sana kwenye bunge la katiba, acheni kumpamba hapa, sana sana mnamvunjia heshma tu.
 
tundu lissu ni mgonjwa wangu wa akili by dk hamis kigwangala

Kwa kuangalia tu posts zako inatosha kupata picha kamili ya jinsi ulivyo na uwezo wako duni wa akili. Mwenzio yuko mjengoni, tena watu wanaheshimu michango yake ya kitaaluma, achilia mbali tofauti za mirengo ya kisiasa, wewe unajidanganya eti ni mgonjwa wa akili. Wewe umeshawahi hata kuwa mwenyekiti wa Kitongoji? mwenzio ameingia kwenye historia ya kuwa mbunge wa bunge maalumu je wewe una chochote utakachokumbukwa nacho? Ficha ujinga wako!!
 
acha zipotee tu kwani sio hapo tu zinapopotea,tena afadhari hapa zinapotea huku tunaziona kuliko kule kwenye EPA,IPTL,RICHMOND,MEREMETA.Mnajifanya kuzionea huruma hizi za katiba!mbona huko kwengine hamsemi

mkuu umesahau na bil.460 za juzi tu hapa wamecholopoa pale kwa nduru! Hawa jamaa ni makauzu usipime,Wanaunafiki wa mamba.
 
Back
Top Bottom