Mwanasheria No. ONE ni TUNDU LISU

Mwanasheria No. ONE ni TUNDU LISU

Kwahiyo na wewe unaamini hivyo?

Sitta ameahirisha binge baada ya kuona mbinu zao CCM za kutaka kibadili kanuni kugonga mwamba lakini ni jitihada za Lissu na ushirika wao UKAWA
 
tundu lissu ni mgonjwa wangu wa akili by dk hamis kigwangala

Sema na moyo wako....Kwi kwi kwi.....Hakika moyo ni kiza kinene sana.......Kimoyoni unamkubali sanaa.....Ila kwakuwa unapalilia kitumbua chako lazima uwe upande wa Maccm...
 
Huu ushabiki wenu wa kijinga unaharibu sana mchakato wa kupata katiba bora kwa muda muafaka.
Hujanijibu kijana wa buku 7 juu ya Sitta na lissu nani amekiuka?
Katiba bora wakati ccm wanayo yakwao mfukoni!
 
Hongera Tundu Lissu, watanzania tupo nyuma yako.!
 
Nyie mnaoleta ushabiki wa kijinga kwenye masuala nyeti ya nchi kama katiba ndio mnaowapa kichwa hawa wehu akina tundu Lissu wafanye vitendo vya kihuni huko bungeni na kusababisha bunge kuahirishwa mara kwa mara. Pesa za walipa kodi zinapotea bure.

You can fool all people for sometime but you can not fool all people all the time.......

Tutabanana na nyie....Ndo kwanza moto umeanza kutoa cheche.....Subirini mlipuko..
 
Nyie mnaoleta ushabiki wa kijinga kwenye masuala nyeti ya nchi kama katiba ndio mnaowapa kichwa hawa wehu akina tundu Lissu wafanye vitendo vya kihuni huko bungeni na kusababisha bunge kuahirishwa mara kwa mara. Pesa za walipa kodi zinapotea bure.
leo ndo mmejua zinapotea enheee? Mimi sio mpenzi wa mwanachama wa chadema na nilikuwa ni moja ya watu waliokuwa wanaona Tundu lisu ni mkorofi ila kwa hili la leo naungana naye kwa nguvu zote hivi unaujua mhuni? Wewe umejiwekea taratibu za nyumbani kwako afu wewe ndo uwe wa kwanza kwenda kinyume na utaratibu huo hivi wanao wakikuuliza atawaambia nyie watoto wahuni au wewe ndo mhuni na mshenzi usiyejitambua? Potelea mbali acha kodi ziende tu kuliko zingekuwa zinaenda kwa wabunge wa ccm tu hizo kodi zinaturudia mule ndani kuna watu 600 zinarudi tu
 
Umeangalia Bunge ?

Kama hujaangalia nikifahamishe tu kwamba waliosababisha bunge kuahirishwa ni kwanza Lissu, then Waziri wa sheria wa Zanzibar ambaye ni wa CUF na mwisho aliyekuja kupigilia msumari wa mwisho na Sitta akanyoosha mikono ni Jussa !

Kwani bunge limeahirishwa kwa sababu ya Lissu? Acheni kujidanganya.
 
Tena watu wamekuwa wastaarabu sana kuvumilia. Mmewakanyaga wamevumilia. Wamewabeba na mikojo yenu wamevumilia sasa haitoshi wanataka na midomo ya wenzao iwe choo tpuuuuuu utumwa gani huo wakati sote pua zetu zinaangalia chini? Rais alihapa kuilinda katiba kaivunja watu wametulia nyie mnaleta usanii. Mna laana hata kwa Mungu alishika quran tukufu siku ana apa kuilinda na kuitetea yeye ndo anakuwa wa kwanza kuivunja. Yaani tumechoka sasa kaa kubuluzwaa imetosha hatutaki utumwa kwenye nchi yetu
 
Tutaona kama hizo busara zake zitafanikisha kanuni kuchakachuliwa !

CCM naona bado mnafikiri hili Bunge mnaweza mkaliburuza kama la Jamhuri. Hili hamuwezi pamoja na wingi wenu, UKAWA watabanana na nyinyi pamoja na wao kuwa wachache mpaka kitaeleweka !

Busara za sitta ndio zimepelekea yeye kuahirisha bunge, na sio porojo za Lissu.
 
Siku akiacha kuropoka,jazba na kukurupuka anaweza kuaminika. Otherwise ni wale wale tu. Hana jipya.
MSALANI unachekesha kweli..

Haya karopoka tu Bunge limeahirishwa..

Akiongea bila jazba si JK anaweza kujiuzulu!!??.. 😉
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom