Mwanasheria No. ONE ni TUNDU LISU

Mwanasheria No. ONE ni TUNDU LISU

Ambiente Guru

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2012
Posts
2,623
Reaction score
1,096
Hakika Nimemkubali sana baada ya kmwona EATv akitetea kutochachuliwa kwa kanuni hali iliyolazimisha Bunge kuahirishwa. Ameainisha makosa lukuki. Kwani wanasheria wengine hawapo??

Naomba apewe Ulinzi hadi hapo vikao vitakapoisha.

Mungu mpe mja wako TL ulinzi. Maadui zake washindwe na walegee.

Hakika Nimemkubali sana baada ya kmwona EATv akitetea kutochachuliwa kwa kanuni hali iliyolazimisha Bunge kuahirishwa. Ameainisha makosa lukuki. kwani wanasheria wengine hawapo??

Naomba apewe Ulinze hadi hapo vikao vitakapoisha.

Mungu mpe mja wako TL ulinzi. Maadui zake washindwe na walegee.

tundu lissu ni mgonjwa wangu wa akili by dk hamis kigwangala
 
Hata MAccm yenyewe akiwemo huyo ati ndio mwanasheria mkuu wa SIRIKALI ya Maccm amemkubali na hata wengine wakidiriki Mh Tundu Lissu hakika wewe ni mwanasheria ningetamani sana Mh Rais angekuteua uwe mwana sheria wa serikali so Tundu Lissu ni zaidi ya Mwanasheria.Big up Kamanda Lissu na Mungu akubariki sana
 
Siku akiacha kuropoka,jazba na kukurupuka anaweza kuaminika. Otherwise ni wale wale tu. Hana jipya.
 
Siku akiacha kuropoka,jazba na kukurupuka anaweza kuaminika. Otherwise ni wale wale tu. Hana jipya.

Hana jipya? Mbona Bunge limeahirishwa? Wewe utaacha lini ushabiki? Unakuwa kama shabiki wa ngoma ya mdundiko ambayo Mzaramo anaweza kujikuta kaifata toka Ilala mpaka Pugu.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Kwani bunge limeahirishwa kwa sababu ya Lissu? Acheni kujidanganya.
 
Wewe ndio huna jipya kama jina lako lilivyo

Nyie mnaoleta ushabiki wa kijinga kwenye masuala nyeti ya nchi kama katiba ndio mnaowapa kichwa hawa wehu akina tundu Lissu wafanye vitendo vya kihuni huko bungeni na kusababisha bunge kuahirishwa mara kwa mara. Pesa za walipa kodi zinapotea bure.
 
Kwani bunge limeahirishwa kwa sababu ya Lissu? Acheni kujidanganya.

Yaani akili zako kama jina lako lilivyo sehemu ya kuhifadhia kinyesi.
Acha ushabiki maandazi ww kila post we unajitoa ufahamu,kwa shilingi ngapi?
 
Siku akiacha kuropoka,jazba na kukurupuka anaweza kuaminika. Otherwise ni wale wale tu. Hana jipya.

Kama aliropoka sitta angeendelea na bunge aibu ya mwaka kwa gamba wote hili sio bunge la bajeti ni bunge maalum la katiba ya wananchi kijana.
 
Yaani akili zako kama jina lako lilivyo sehemu ya kuhifadhia kinyesi.
Acha ushabiki maandazi ww kila post we unajitoa ufahamu,kwa shilingi ngapi?

Kwahiyo na wewe unaamini hivyo?
 
Busara za sitta ndio zimepelekea yeye kuahirisha bunge, na sio porojo za Lissu.
 
Back
Top Bottom