Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,760
Habari nilizogusiwa juu juu tu ,kumbe Dr Shein amemteua Mwanasheria Mkuu Mpya wakati mwanasheria huyo hayupo nchini ,yupo majuu na huenda alijiripua huko japo alikuwa ni chini ya Mwanasheria alieondoshwa ,alikimbia mapema baada ya kuona kuna mtikisiko katika bunge la Katiba na haswa baada ya Othman kukacha kuhudhuria.
Hizo ni tetesi tu kuwa jamaa hayupo nchini na hakuna tamaa ya kurudi tena Zanzibar ,ila kama kuna mwenye uhakika kuwa yupo si vibaya akanisahihisha.
Hizo ni tetesi tu kuwa jamaa hayupo nchini na hakuna tamaa ya kurudi tena Zanzibar ,ila kama kuna mwenye uhakika kuwa yupo si vibaya akanisahihisha.